Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee
 
kumuamini Mungu umeamua tu, lakini Nina uhakika hujawahi kumuona Wala kumsikia,
Hata hii HEWA ninayoivuta ipo ila sijawahi kuiona ila naihisi tu, Mungu nae namuhisi kama yupo ila sijui kama ni mmoja au mamilioni ya Miungu, kwasababu sasa hivi imejulikana kuwa kuna Universes nyingi na hii tuliyomo ni mojawapotu, wanaita (Multiverse) 👈Theory
 
Hayupo kwababu hakuna udhibitisho wowote usio kuwa na shaka kama yupo au aliwahi kuwepo. Pili vitabu vinavyo aminisha watu kuwa yupo vimeisha dhibika pasipo na shaka kuwa hadithi na na simulizi za kwenye vitabu hivyo hazikutokea na hatazilizo tokea ziliongezewa chuvi. Tatu ukisoma bibilia kwa akili yako mwenyewe bila kuwa na ushawishivwa imani za urithi unaweza ukaona ni kwa namna gani stori na maelekezo ya bibilia yanavyo controdict yenyewe. Kwa mfano soma isaya 45 :1-8. Au soma mwazo 19 na mwamuzi 19 . Halafu rudi hapa . Tatu bibilia kila msitari una tafusiliwa tafauti na kila msomaji. Sasa inakuwa Mungu ambaye anajuwa watu wake vizuri ashindwe kuwaandikia maelekezo yanayo eleweka kiurahisi kwa kila mtu. Imagine wategenezaji wa magari wandike instruction ambazo mafundi na madreva hawawezi kuelewa unafikiri nani angenunuwa hayo magari?
 
Ndugu mwandishi, utambuzi wa baya na zuri hauna uhusiano wowote wa lazima na nadharia za uwepo wa Mungu. Kuna yale matendo ambayo mtu yeyote hatapenda kufanyiwa kwa sababu yanadhuru mwili wake, uhai wake, mali yake au chochote kinachomuhusu basi jamii hata kama haijawahi kuona andiko lolote la kidini itakubaliana kuwa si sawa kuyafanya. Haya ni mambo kama wizi, mauaji, kumjeruhi mwingine na kadhalika.
 
Hizo reasoning zako ziweke tuzi-verify tuone kama kweli zinathibitisha madai ya Mungu yupo.

Mimi kuthibitisha Mungu hayupo? Hell nah!

Logic inakataa kuthibitisha negative.

Ngoja nikupe mfano.

Nithibishie kuwa hakuna tembo wenye rangi ya zambarau.

Hii ni ngumu, kwasababu utahitajika kusachi kila sehemu ya huu ulimwengu kutafuta kuwa hakuna tembo wenye rangi ya zambarau.

Hata hivyo bado haitatosha kukusaidia kwasababu pengine wakati unawatafuta Korea wakawa wameamishwa Canada au sehemu nyingine.

Kwa hiyo ukija kusema kwamba umezunguka nchi zote kila kona bado kuna huo mwanya wa hao tembo kuweza kuhamishwa sehemu waliyopo na kuenda sehemu uliyotoka ili usiwakute.

Ni ngumu na haiwezekani kuthibitisha tembo wa rangi ya zambarau hawapo kwasababu haiwezekani mtu kufanya direct observation itayoweza ku cover whole earth katika wakati mmoja ili kuweka madai kuwa tembo hao hawapo.
 
Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee

 
Sasa hivi imethibitishwa kuwa sisi Wanadamu Miti viumbe vyote na Dunia Mwezi pamoja na Jua hili tunalolizunguka tumetokana na Star Dust Vumbi la Nyota kubwa iliyolipuka mabilioni ya miaka iliyopita.
 
Sawa mkuu, ila hewa inaweza kupimwa kwa hivo inaweza kuthibitika. Ila Mungu hawezi kuthibitishwa kwa namna yoyote Ile kaka.
 
Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee
Alafu pia, hiyo analogue inatokana na madai yenu mungu hayupo kwasababu waliosema yupo wameshindwa kuthibitisha uwepo wake, inaonesha wewe pia unaimani kama hiyo ya kibubusa huo mfano pia utakufaa.
Mkiwa mna-argue muwe mnakumbuka sio tu unajisahaulisha kuweka vitu vile unavyohisi
 
Sawa mkuu, ila hewa inaweza kupimwa kwa hivo inaweza kuthibitika. Ila Mungu hawezi kuthibitishwa kwa namna yoyote Ile kaka.
Kuna Dark Matter kuna Dark Energy ambazo ziko hapa Duniani na hazipimiki kwa Techolojia iliyopo sasa labda Technolojia ijayo tutaweza kugundua Mungu au Miungu yukoje au ikoje.
 
Huko unakokuita kudhuru hakunihusu ikiwa utashi umeamua kufanya hivyo
 
Mimi kutomuona tembo wa zambarau haimaanishi kama hayupo,
 
Kitu ambacho hujifikirishi ni kuwa uwepo wa Mungu hauhusishi ukristu na uislqmu pekee
Hiyo term morality msingi wake mkuu ni belief in super natural being
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…