Kabla sijakujibu, nikuulze, je umeiona iyo kamba? Jamaa amepanda juu ya kamba.Video ya kwanza umetoa sababu gani vile...?!
Ukitaka ku Debunk kitu njoo na ushahidi fanya research njoo sources zako sio maneno maneno tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla sijakujibu, nikuulze, je umeiona iyo kamba? Jamaa amepanda juu ya kamba.Video ya kwanza umetoa sababu gani vile...?!
Ukitaka ku Debunk kitu njoo na ushahidi fanya research njoo sources zako sio maneno maneno tu.
Territory za wanyama zinaonyesha kuwa Mungu hayupo yaan mamlaka ya hao wanyama yapo kwa wanyama wenyewe mwenye nguvu ndio anatawala na hakuna Mungu kuingilia au kuokoa hao wanyama endapo mtawala wa hao wanyama atakuwa anatumia madaraka yake vibayaKwa kutumia hizo territory za wanyama hebu tuelezee kuwa Mungu hayupo.
Sawa, boss. Safari njemaBoss na huo uungu tukiamua tunaweza ufikia. Hakuna level kiumbe awaye mwanadamu hawezi ifikia. Ni suala la maamuzi na kujifunza.
Vyote unavyoviamini umeviona?Hivi mtu unaamini vipi Mungu yupo, hujawah kumuona Wala kumsikia, mtu unaamini tu, lazima watu tuwe spiritual, kuwa spiritual ni kuhoji maswala ya kiimani, Ili kupata ukwel, sio kumeza tu kila kitu.
Hiyo nimeitoa kwenye You Tube Shorts ngoja nikuwekee Video nyingine.Kabla sijakujibu, nikuulze, je umeiona iyo kamba? Jamaa amepanda juu ya kamba.
we jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzimaTerritory za wanyama zinaonyesha kuwa Mungu hayupo yaan mamlaka ya hao wanyama yapo kwa wanyama wenyewe mwenye nguvu ndio anatawala na hakuna Mungu kuingilia au kuokoa hao wanyama endapo mtawala wa hao wanyama atakuwa anatumia madaraka yake vibaya
Na endapo utauliza swali la kijinga na la kipuuzi kuwa je hao wanyama wametoka wapi je walitokea wenyewe si watakuwa wameumbwa na Mungu kuuliza swali hilo hakuna mantki maana ukiingia ktk mtego huu unakuwa umetengeneza complex oder ya chain ndefu ya ulimwengu
Maana na sisi tutakuuliza kwa hiyo kama wanyama wameumbwa na Mungu je huyu Mungu nae katokea wapi ukisema katokea mwenyewe maana yake tutakataa maana kila kilichopo ktk ulimwengu hakiwezi kutokea wenyewe hivyo Mungu nae katokea wapi kwa vyovyote vile Mungu atakuwa nae kaumbwa na huyo alimuumba Mungu katokea wapi hivyo itakuwa chain complex order hivyo kuepuka hiyo complex order tunasema Mungu hayupo ukisema yupo kaumbwa na nani
Hata kama sijaviona ila vimethibitika vipo, uyo Mungu nani kumthibitisha, una ushahidi wa uwepo wake?Vyote unavyoviamini umeviona?
Kabla sijakujibu, nikuulze, je umeiona iyo kamba? Jamaa amepanda juu ya kamba.
Video zote za uongo tu izo, ndo maana nimekuibulia kasoro, narudia tena hakuna Mungu, wachawi, malaika, Shetani, mizimu Wala majini.. hivi vyote vipo kwenye imagination tu.. ila kiuhalisia havipoHiyo nimeitoa kwenye You Tube Shorts ngoja nikuwekee Video nyingine.
Post 603Kivipi ?
Kuna Paranormal kuna Dimension mbali mbali kuna Extra Terrestrial beings nk. Kubisha tu ni uvivu wa kufikiri.Video zote za uongo tu izo, ndo maana nimekuibulia kasoro, narudia tena hakuna Mungu, wachawi, malaika, Shetani, mizimu Wala majini.. hivi vyote vipo kwenye imagination tu.. ila kiuhalisia havipo
Kitendo cha kuwa sielewi mantiki nzima nacho kinazidi kuonyesha Mungu hayupo alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na watu hawaelewi mantiki nzimawe jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzim
ukiamka "soma kwa hatua" ndo uje tena
Sasa kitu kinakuwaje kipo kwa kufikiri, kwann kisionekane? Au kisipimike?Kuna Paranormal kuna Dimension mbali mbali kuna Extra Terrestrial beings nk. Kubisha tu ni uvivu wa kufikiri.
Kitendo cha kuwa sielewi mantiki nzima nacho kinazidi kuonyesha Mungu hayupo alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na watu hawaelewi mantiki nzimawe jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzim
ukiamka "soma kwa hatua" ndo uje tena
Mungu hayupo hayo mawazo yako tuJina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani ya kitabu
Jina lako linasadifu yaliyomo kichwani mwako
Halafu hii hoja niliwahi kuuliza humu mbona atheist wengi sana?
Sijakwambia umekubaliana na hoja ya kuwepo Mungu, umesema huo mfano wako ndo amereason vizuri na unaita hiyo ndo jinsi ya kureason, mimi nimekuuliza kitu gani kilichomfanya afikie kwenye conclusion hapo kwenye sentensi ya tatu??? Sioni tofauti na claim tu hapo,Huwezi ku rap huku unatafuna kashata halafu usitoke nje ya beat.
Mimi nilikuwa naku-shape namna sahihi ambayo ulipaswa ku-propose analogy yako kwasababu Cosmological Argument haiwi presented kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.
Sasa kama nakuelekeza namna gani ya kuuliza swali kwa ufasaha wewe umeshindwa kujua kuwa unaelekezwa badala yake ulichojua ni kuwa mimi nakubaliana na usahihi wa hoja hiyo kwenye kuthibitisha uwepo wa Mungu, unadhani mpaka hapo tutaelewana?
Nikisema Atheist hamuwezi kujenga hoja zaidi ya kupachika vitu vya ajabu namaanisha vitu kama hiviKwani we si ndio mwanzo ulidai negative claim inaweza kuthibitishwa?
Kama falsafa ni upuuzi automatically unakuwa umekubali kuwa habari za Mungu na dini ni upuuzi kwasababu nazo ni sehemu ya hiyo falsafa.
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha
Tuanzie kwenye Civilization na Level ya akili na kufikiri viumbe mbalimbali wapo kwenye level tofauti za civilization na akili. Inaweza kuonekana kupitia namna yao ya maisha.
Mfano Simba wana territory yao wanaweka alama kabisa iwe kuacha kinyesi n.k ila wana mipaka ya utawala na kuna utawala wa simba dume eneo hilo ambapo akiingiliwa na Simba mwingine ambae hakua hapo lazima wapigane vibaya sana hadi moja akubali show.
Tembo pia vilevile kiasi kwamba mwenzao akifa wanahizunika na kuonyesha kuomboleza...
Mchwa pia, wapo wana utawala wao, wana malkia, kuna walinzi kuna wajenzi, na wanajenga haswa, kichuguu kimejengwa kwa ustadi haswa inaonyesha kabisa wana mawasiliano mazuri sana na wanajua wanachokifanya.
Nyuki pia vile vile, wana jenga nyumba yao, sehemu ya kuwekea asali, kuna malkia, kuna wanaolinda eneo, nknk.
Yaani hadi wanavyotengeneza asali kumlinda malkia na kulinda eneo lao, lina onyesha wazi level yao ya kujielewa na level ya mawasiliano ni kubwa kabisa.
wanyama ni wengi ambao tunaweza kuwa tumia kama reference, Sokwe etc.
Hawa viumbe wote, kila mmoja kwa nafasi yake mfano tuchukulie nyuki, wanajiona wana akili(ni kweli wanayo),
wanajiona wanajua mambo mengi na kufikiri logically kwamba huyu ametuchokoza kwaiyo tuji-oganize kushambulia na kujilinda, wanajua kujenga, wanamuheshimu malkia na kumlinda...
ila pia kuna mambo hawajui na hawajui kama hawajui na hawawezi kukuelewa hata ukijaribu kuwaelewesha,
na hautakua hata na intrest ya kuwaelewesha...
Mfano: Je binadamu anaweza kua na interest ya kutaka kumuonyesha nyuki ni jinsi gani binadamu wameendelea kiteknolojia?
Nyuki anaweza kuelewa kwamba binadamu anaweza kuongea na mtu wa marekani kupitia iternet kwamba binadamu anaweza kuwasiliana hivi Jamii Forums kwa id fulani na hawajawai kuonana wala kua na namba ya simu wala kukutana?
Nyuki anaweza kuelewa kwamba hilo bomba linalotoa maji au hiyo taa inayowaka usiku barabarani au nyumbani imetengenezwa na binadamu na sio kwamba ipo tuu... inakazi na bili zinalipwa?
Hayo ni baadhi ya maendeleo ya binadamu na kujaribi kulinganisha uwezo wa akili wa nyuki na binadamu,
Ni dhahiri kwamba hai make sense kwa nyuki, na hatuna interest ya kutaka kumuelewesha
Tumetofautiana kiakili na nyuki kiasi cha kua sisi tunaweza kumuelewa nyuki ila yeye hawezi kutuelewa
Nyuki nae usipo mlinganisha na binadamu, ana akili kubwa tuu na huenda anajiona vilevile binadamu anavyojiona kiakili, na anakiamini kile akili yake inachowaza kumbe ndo akili yake ilipoishia.
Vile vile kwa binadamu anajiona yupo advanced kiakili ambayo ni kweli pia kwa nafasi yake lakini pia na yeye ana limit ambayo akili yake inaishia.
Tunaona tu dunia, jua mwezi, maporomoko na vingine, ni kama tuu nyuki akikutana na taa, bomba la maji, kweli anaona taa inatoa mwanga, bomba linatoa maji...
Ila hajui hasa lile bomba imekuaje lipo pale, au taa imekuaje ipo pale, imewekwa na nani?
Anachojua inatoa mwanga, mechanism nyuma yake je inakuaje inawaka usiku mchana haiwaki? Inakazi gani haswa? Hajui na hana uwezo wa kufatilia kujua.
probably akiona gari anajua ni mojawapo ya viumbe wengine, hajui kama binadamu ndo yupo ndani anaendesha. au anaweza kua analichukulia kwa namna tofauti kabisa. au hata haelewi chochote.
Hiyo ni relation tu ya kuonyesha jinsi akili ya viumbe mbalimbali ina limit yake
Binadamu pia limit ya akili yetu ina limit inapoishia
Mfano ndo unakutana na Mtu anayesema "Mungu Hayupo kwasababu Huwezi kumuona wala kumgusa wala kusikia sauti yake"
Hiyo ni moja wapo ya limit ya akili yetu, ina depend moja kwa moja na milango ya fahamu, masikio macho, pua, ulimi, ngozi...
Anakwambia "jua lili kwepo tuu, na dunia ilikwepo tuu, kwamba kama jua au dunia haiwezekani kuwepo tuu, basi na Mungu hawezekani kuwepo"
Inaonyesha ni jinsi gani akili yetu inafikia limit, kuyaelewa mambo mengine..
Mambo ambayo hatuyajui bado ni mengi ni infinity ♾️, na ningumu hata kuingia akilini haya make sense kwasababu yapo beyond uwezo wa akili.
Kama vilevile tulivyoona kwa mfano wa nyuki, kwamba kumuelezea hata teknolojia yetu hai make sense, kwaajili ya limit yao ya akili.