Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Video ya kwanza umetoa sababu gani vile...?!

Ukitaka ku Debunk kitu njoo na ushahidi fanya research njoo sources zako sio maneno maneno tu.
Kabla sijakujibu, nikuulze, je umeiona iyo kamba? Jamaa amepanda juu ya kamba.
 
Kwa kutumia hizo territory za wanyama hebu tuelezee kuwa Mungu hayupo.
Territory za wanyama zinaonyesha kuwa Mungu hayupo yaan mamlaka ya hao wanyama yapo kwa wanyama wenyewe mwenye nguvu ndio anatawala na hakuna Mungu kuingilia au kuokoa hao wanyama endapo mtawala wa hao wanyama atakuwa anatumia madaraka yake vibaya
Na endapo utauliza swali la kijinga na la kipuuzi kuwa je hao wanyama wametoka wapi je walitokea wenyewe si watakuwa wameumbwa na Mungu kuuliza swali hilo hakuna mantki maana ukiingia ktk mtego huu unakuwa umetengeneza complex oder ya chain ndefu ya ulimwengu
Maana na sisi tutakuuliza kwa hiyo kama wanyama wameumbwa na Mungu je huyu Mungu nae katokea wapi ukisema katokea mwenyewe maana yake tutakataa maana kila kilichopo ktk ulimwengu hakiwezi kutokea wenyewe hivyo Mungu nae katokea wapi kwa vyovyote vile Mungu atakuwa nae kaumbwa na huyo alimuumba Mungu katokea wapi hivyo itakuwa chain complex order hivyo kuepuka hiyo complex order tunasema Mungu hayupo ukisema yupo kaumbwa na nani
 
we jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzima

ukiamka "soma kwa hatua" ndo uje tena
 
Hiyo nimeitoa kwenye You Tube Shorts ngoja nikuwekee Video nyingine.
Video zote za uongo tu izo, ndo maana nimekuibulia kasoro, narudia tena hakuna Mungu, wachawi, malaika, Shetani, mizimu Wala majini.. hivi vyote vipo kwenye imagination tu.. ila kiuhalisia havipo
 
Video zote za uongo tu izo, ndo maana nimekuibulia kasoro, narudia tena hakuna Mungu, wachawi, malaika, Shetani, mizimu Wala majini.. hivi vyote vipo kwenye imagination tu.. ila kiuhalisia havipo
Kuna Paranormal kuna Dimension mbali mbali kuna Extra Terrestrial beings nk. Kubisha tu ni uvivu wa kufikiri.
 
we jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzim
ukiamka "soma kwa hatua" ndo uje tena
Kitendo cha kuwa sielewi mantiki nzima nacho kinazidi kuonyesha Mungu hayupo alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na watu hawaelewi mantiki nzima
 
Kuna Paranormal kuna Dimension mbali mbali kuna Extra Terrestrial beings nk. Kubisha tu ni uvivu wa kufikiri.
Sasa kitu kinakuwaje kipo kwa kufikiri, kwann kisionekane? Au kisipimike?
 
we jamaa em nenda kalale maana huelewi mantiki nzim
ukiamka "soma kwa hatua" ndo uje tena
Kitendo cha kuwa sielewi mantiki nzima nacho kinazidi kuonyesha Mungu hayupo alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na watu hawaelewi mantiki nzima
 
Sijakwambia umekubaliana na hoja ya kuwepo Mungu, umesema huo mfano wako ndo amereason vizuri na unaita hiyo ndo jinsi ya kureason, mimi nimekuuliza kitu gani kilichomfanya afikie kwenye conclusion hapo kwenye sentensi ya tatu??? Sioni tofauti na claim tu hapo,
Kwenye assertion yangu nimetoa facts kwanini kuna creator alafu nikabuild logic kutokea hapo, wewe na jamaa wako mmefanya janja janja alafu sentensi ya tatu mnakiri kama kuna creator bila kutia reason alafu mnasema hivyo ndo tunavyotakiwa ku-argue,
Sidhani kama tunaelewana tena hadi hapa.
Huyo aliyekukaririsha kwamba huo ndio mtindo wa kureason na yeye anamatatizo kama wewe, huenda ndo mana ulifikia conclusion ya kuwa mungu hayupo
 
Eleza huyo Mungu katokea wapi. Si taa aliweka binadamu? Si ni vyote vimeumbwa na huyo Mungu? Je,yeye katoka wapi! Jua,umejuaje ni jua? Wanaojiita wanasayansi ndo wamebatiza vitu tu. Huyu Mungu wako,huko nyuma kuna mada zilitolewa,majibu yake umepata?
 
Kwani we si ndio mwanzo ulidai negative claim inaweza kuthibitishwa?

Kama falsafa ni upuuzi automatically unakuwa umekubali kuwa habari za Mungu na dini ni upuuzi kwasababu nazo ni sehemu ya hiyo falsafa.
Nikisema Atheist hamuwezi kujenga hoja zaidi ya kupachika vitu vya ajabu namaanisha vitu kama hivi
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:



Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea



Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu

Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),

Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata



Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje



Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)

Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake



Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair



Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima

Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu



Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?

Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.

Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”

Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk



Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.

Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi



Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa

Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…