Sijakwambia umekubaliana na hoja ya kuwepo Mungu, umesema huo mfano wako ndo amereason vizuri na unaita hiyo ndo jinsi ya kureason, mimi nimekuuliza kitu gani kilichomfanya afikie kwenye conclusion hapo kwenye sentensi ya tatu??? Sioni tofauti na claim tu hapo,
Kwenye assertion yangu nimetoa facts kwanini kuna creator alafu nikabuild logic kutokea hapo, wewe na jamaa wako mmefanya janja janja alafu sentensi ya tatu mnakiri kama kuna creator bila kutia reason alafu mnasema hivyo ndo tunavyotakiwa ku-argue,
Sidhani kama tunaelewana tena hadi hapa.
Huyo aliyekukaririsha kwamba huo ndio mtindo wa kureason na yeye anamatatizo kama wewe, huenda ndo mana ulifikia conclusion ya kuwa mungu hayupo