Dini sio Falsafa, itakuwa hujui maana ya Falsafa.Kwani we si ndio mwanzo ulidai negative claim inaweza kuthibitishwa?
Kama falsafa ni upuuzi automatically unakuwa umekubali kuwa habari za Mungu na dini ni upuuzi kwasababu nazo ni sehemu ya hiyo falsafa.
Hakuna aliyethibitisha uwepo wa dark matter, labda wewe uwe wa kwanza
Do your research usiweke vitu huvijuwi, point yako ni sawa na kusema Albert Einstein amethibitisha tunaweza ku travel across different timelines
Hujajibu swali nililo kuuliza.Territory za wanyama zinaonyesha kuwa Mungu hayupo yaan mamlaka ya hao wanyama yapo kwa wanyama wenyewe mwenye nguvu ndio anatawala na hakuna Mungu kuingilia au kuokoa hao wanyama endapo mtawala wa hao wanyama atakuwa anatumia madaraka yake vibaya
Na endapo utauliza swali la kijinga na la kipuuzi kuwa je hao wanyama wametoka wapi je walitokea wenyewe si watakuwa wameumbwa na Mungu kuuliza swali hilo hakuna mantki maana ukiingia ktk mtego huu unakuwa umetengeneza complex oder ya chain ndefu ya ulimwengu
Maana na sisi tutakuuliza kwa hiyo kama wanyama wameumbwa na Mungu je huyu Mungu nae katokea wapi ukisema katokea mwenyewe maana yake tutakataa maana kila kilichopo ktk ulimwengu hakiwezi kutokea wenyewe hivyo Mungu nae katokea wapi kwa vyovyote vile Mungu atakuwa nae kaumbwa na huyo alimuumba Mungu katokea wapi hivyo itakuwa chain complex order hivyo kuepuka hiyo complex order tunasema Mungu hayupo ukisema yupo kaumbwa na nani
Ulichokiandika sio ulichokisoma kwenye post yangu.And you claim to know logic kwa kusema huo upuuzi ni logical reasoning, "mtu anakwambia lazima kutakuwa na necessary being ambayae ni kianzilishi" kwa kulala na kuamka tu, ndo mana nakwambieni nyie atheist ni brainwashed alafu mna argue kwa kutumia philosophy,
Hata wewe ukikaa siku unaweza kuja na falsafa zako za kipuuzi watu wakaja kukuita mwana falsafa na kufuata imani zako. Philosophy ni maamuzi ya mtu tu, huwezi kuja hapa kwenye argument alafu unaniambia mtu flani alisema blah blah blah mi ntakuona una matatizo.
Tengeneza premises, tuwekee assertions based on facts formulate conclusion
Hivyo ndivyo tunaargue, sio unakuja na maneno mtu aliongea huko na kichwa chake
Nime draft pattern 4 ambazo ndio key point kwenye argument yakeSijakwambia umekubaliana na hoja ya kuwepo Mungu, umesema huo mfano wako ndo amereason vizuri na unaita hiyo ndo jinsi ya kureason, mimi nimekuuliza kitu gani kilichomfanya afikie kwenye conclusion hapo kwenye sentensi ya tatu??? Sioni tofauti na claim tu hapo,
Kwenye assertion yangu nimetoa facts kwanini kuna creator alafu nikabuild logic kutokea hapo, wewe na jamaa wako mmefanya janja janja alafu sentensi ya tatu mnakiri kama kuna creator bila kutia reason alafu mnasema hivyo ndo tunavyotakiwa ku-argue,
Sidhani kama tunaelewana tena hadi hapa.
Huyo aliyekukaririsha kwamba huo ndio mtindo wa kureason na yeye anamatatizo kama wewe, huenda ndo mana ulifikia conclusion ya kuwa mungu hayupo
Vitu vya ajabu kwasababu umeona leo kubao kimegeukia kwako?Nikisema Atheist hamuwezi kujenga hoja zaidi ya kupachika vitu vya ajabu namaanisha vitu kama hivi
Halafu hapohapo Tetemeko la Ardhi linaua maelfu Tsunami nayo inakuja kumalizia inaua mpaka Wanyama na Samaki.Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Unknown power ndio nini?It's not about dini hebu elewa, the nature itself respect unknown power ndo maana kuna hizo empathy and consolation theories ambazo kwetu sisi modern people zinatafsiriwa katika imani
Hujui philosophy of religion?Dini sio Falsafa, itakuwa hujui maana ya Falsafa.
We jamaa kuelewa kwako ni tatizo sana.Nime draft pattern 4 ambazo ndio key point kwenye argument yake
Kila pattern ameitolea maelezo ya kutosha kabla ya kufika kwenye pattern nyingine.
Kwasababu jaribio lako la ile analogy lilianzishwa na huyo mtu niliyekutajia.
Mimi nimekufanyia summarize tu kwa kukuonesha flow uliyotakiwa kupangilia analogy yako.
Huwezi ukaanza tu kuweka madai kibubusa eti "there creator of the universe"
Point ilikuwa ni kukuonesha kwamba hiyo ni hoja ambayo inapaswa kuwekwa mwishoni. Kwenye utangulizi unaanza na sababu ambazo zitakufikisha kwenye hilo jibu la mwisho.
Kibao kipi ? Hizo illogical philosophy unazoweka wewe na wenzako???Vitu vya ajabu kwasababu umeona leo kubao kimegeukia kwako?
Ulipokuwa unadai uthibitisho wa kisichokuwepo ukaambiwa haiwezekani kuthibitisha negative, hukuona kwamba hilo swali lako la kutaka uthibitishiwe negative pia ni kupachika vitu vya ajabu?
Ndo mana nkasema nyinyi atheists mnaongozwa na falsafa, kuamini katika falsafa bila kureason ni upuuzi. Naonaga wengi mnakuwaga na huo ujinga wa x amesema, y amesema kama uyo mwenzako anakuja apa na burden of blah blah blahUlichokiandika sio ulichokisoma kwenye post yangu.
Usimpakazie mtu ubaya kwa makosa yako binafsi ya kutoelewa hoja.
Hoja ya Thomas Aquinas kuhusu motion ni hoja yenye ushawishi zaidi na inatumiwa na Theist wengi katika majaribio yao ya kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Kuna muda kila naposoma ulichokiandika huwa napata maswali mengi sana.
Unakataa philosophy ya Thomas Aquinas kwasababu imeandikwa na mtu, at the same time unanipa analogy yako ambayo ni part of philosophy kuonesha Mungu yupo?
Ukikataa philosophy kwasababu zimeandikwa na watu, utajikuta umekataa vingi ikiwemo hadi dhana ya uwepo wa Mungu kwasababu nayo ni sehemu ya philosophy ambayo imeandikwa na watu
Kabisa mkuu, ndo mana hata points zao zinakuwa za juu juu tu. Mtu kasikia flani kasema hiv basi na yeye analibeba kama lilivyoHawa shida yao ni mashabiki, huwa wakisikia basi wanabeba, hawafanyi uchunguzi na kuhoji hayo wanayo yasikia.
Kujadiliana na watu Hawa inakuwa ngumu, sababu hawajibu hoja na kutetea waliyo yaegemea kadhalika ni shida. Huyo nilimuomba na kumpa kazi atuelezee namna ya mvua inavyotengenzwa kwa sharti atumie "Scientific Method" ameshindwa.
Hawa wanapenda sana stori za Kisayansi ila hawafanyi utafiti Wala kuhoji. Wanakuja kupotezea watu muda.
Assertion inayowekwa kama utangulizi ni ile ambayo ishakuwa provedWe jamaa kuelewa kwako ni tatizo sana.
THE LOGIC STARTED WITH AN ASSERTION, HIYO ASSERTION SIJAAMUA KUIWEKA TU KAMA HUYO JAMAA WENU NA FALSAFA ZAKE. It is based on the laws of nature, mimi siweki kitu kwa kuamua tu kama nyie mnaoamini falsafa za watu fulani.
Unakuta unabishana na mtu anakwambia x alisema, y alisema sasa akishasema yeye ndo nn?
to the last point my assertion was logically true, tulikubaliana na mwenzako na ndiye aliyejudge kma mungu yupo ni nani alimuumba yeye pia, unless kma na wewe unataka tuargue tena kuhusiana nayo you're welcome, alafu usinibadilishie assertion yangu sijaanza na there's a creator of the universeAssertion inayowekwa kama utangulizi ni ile ambayo ishakuwa proved
Mfano ukawa ukawa unatumia hoja za milima, bahari, mwezi na jua.
Hivyo ni vitu ambavyo vinaanza kwenye utangulizi kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kuonesha ndio sababu ya hitimisho.
Sasa wewe umeanza na "there creator of the universe"
Hakuna ushahidi kuwa huu ulimwengu ushawahi kuwa created au ulimwengu mwingine wowote, hakuna uthibitisho kuwa huyo Mungu yupo. Ndio kwanza upo.katika hatua za kutaka kuthibitisha
Umeona sasa?Kibao kipi ? Hizo illogical philosophy unazoweka wewe na wenzako???
Ooohh so hii ndo ulivyokuwa unamaanisha uliposema haiwezekani kuproove negative.Umeona sasa?
Huko juu wakati unaniambia nikuthibitishie hakuna Mungu nilikuambia katika logic huwezi kuthibitisha negative unakumbuka nilikuambia nink?
Nilikuambia unachokiita logic katika ku prove negative hakipo kwenye logic bali ni illogic.
Saizi nimekuambia unioneshe namna gani ya kuweza kuthibitisha negative kupitia mfano wa Tembo wa zambarau umeanza kuiita illogic hoja zangu.
Kivipi assertion iwe tena ni conclusion at the same time?to the last point my assertion was logically true, tulikubaliana na mwenzako na ndiye aliyejudge kma mungu yupo ni nani alimuumba yeye pia, unless kma na wewe unataka tuargue tena kuhusiana nayo you're welcome, alafu usinibadilishie assertion yangu sijaanza na there's a creator of the universe