Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Kivipi Logical fallacy of jumping to conclusion iwe true?
 
Conclusion zako kuwa positive ndio nini?

Kwamba unasapoti kuwa tembo wa zambarau wapo? Unaweza kuthibitisha?

Maana nlipokuambia u-prove hakuna tembo wa zambarau ulisema huwezi.

Then unakuja kudai kuwa haukupewa uwanja wa ku prove negative. Dude do you even understand what a negative thing means?
 
What if Gravity Dark Matter Dark Energy nk ndie Mungu mwenyewe.

Au unataka Mungu awe na umbile gani?
Waamini Mungu mna Mungu wengi Sana, wengine wanaabudu kitu kisichoonekana, wengine mawe, wengine jua, miti, wengne dark matter. Kama kungekuwa na Mungu mmoja unazan kungekuwa na hii mushkeli?
 
Mi naweza kusema chanzo Cha ulimwengu ni Big Bang, na sio kwamba Kuna kitu kilichoumba ulimwengu iyo sio kweli
 
Kupata Something from Nothing hiyo ni Process ya Kimungu au Kimiungu.
 
Mi naweza kusema chanzo Cha ulimwengu ni Big Bang, na sio kwamba Kuna kitu kilichoumba ulimwengu iyo sio kweli
kabla ya big bang, au ni nini kilichosababisha big bang ?

big bang imetengenezaje mazingira ya kuruhusu uhai, na viumbe wamefikaje duniani
 
Kabla ya Big Bang kulikuwa hakuna Kitu NOTHING kwahiyo hiyo Big Bang imetokeaje?!
Na Mungu ye alitokeaje, hujiulizi ilo? Ondoa hofu kaka, jiulize Mungu alitokea wapi au aliumbwa na nani? Maana mda wte unamuongelea lakn yy hajiongelea, ni kwasababu hayupo
 
kabla ya big bang, au ni nini kilichosababisha big bang ?

big bang imetengenezaje mazingira ya kuruhusu uhai, na viumbe wamefikaje duniani
Safi kabisa, ndo huwa mnajiuliza Ivo then baada ya hapo mnasema uyo ni Mungu alieviumba Ivo vtu, japo Mungu mwenyewe hajawah kuonekana Wala kujitokeza au kuskika popote pale,
Baada ya hapo mnakuja na Sheria zenu, mtu usifanye hiki, ufanye kile, lakn chanzo kinatoka kule kule kwenye kujiulza big bang ilisababishwa na nani, au nan aliyeweka uhai Duniani?.
Fine na mm nikuulze Mungu aliumbwa na nani, maana umedai kitu hakiwezi kuwepo bila ktu kingne chenye nguvu zaidi.
 
Na Mungu ye alitokeaje, hujiulizi ilo? Ondoa hofu kaka, jiulize Mungu alitokea wapi au aliumbwa na nani? Maana mda wte unamuongelea lakn yy hajiongelea, ni kwasababu hayup
Huyu Mungu wa hii Universe yetu huenda katokea kwenye Universe nyingine.
 
Na nini kilichosababisha Mungu?
Mungu, Super natural Power, highest power above human understanding.


big bang ni theory ya ki sayansi baada ya wao kushindwa kua na jibu

kwasababu BigBang ni theory ambayo imekua suggested na wanasayansi na wanaielezea in detail kama vile wanaijua kiundani wanachoongea,

ni jambo la kushangaza kua hawajui imesababishwa na nini licha ya kuijitaidi kuielezea in detail
 
Mthibitishe bas maana unamuelezea utafkiri ushawah kukutana nae
 
wewe uliwai kuiona au kuisikia big bang ?

hiyo ni theory tu wanajaribu kuelezea na theories zipo nyingi sio BigBang tuu

wewe umeamua kusimama na BigBang
 
wewe uliwai kuiona au kuisikia big bang ?

hiyo ni theory tu wanajaribu kuelezea na theories zipo nyingi sio BigBang tuu

wewe umeamua kusimama na BigBang
Imethibitishwa na sayansi kuwa ni accurate, kuliko creationism theory..
This is because for eg... Ulimwengu unaendelea kutanuka na movement ya galaxies... Kwa nyie watu wa dini mnaamini Mungu aliumba akamalza, wakati sayansi imethibitisha, ulimwengu unaendelea kujitanua.
 
ok kama wamethibitisha kulikua bigbang ( ingawa hawawezi kuthibitisha ni theory tuu bado)

je wanaeleza hiyo bigbang ilisababishwa na nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…