Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Na Biblia sio kitabu Cha ukweli kuelezea chanzo Cha Dunia, maana kiliandikwa na binadamu kama wewe, tena kipindi kile walikuwa ni watu ambao hawajaenda shule.
Mfano Kuna vifungu vingi kwenye biblia vinaelezea Dunia ni sayari iliosimama yani haizunguki.
Ukisoma Joshua 10, aliamuru jua kusimama Ili kuwe mchana kwa mda mrefu, Ili aue watu.
Sayansi imethibitisha Dunia inazunguka jua, na ni jua ndo limesimama.
 
ok kama wamethibitisha kulikua bigbang ( ingawa hawawezi kuthibitisha ni theory tuu bado)

je wanaeleza hiyo bigbang ilisababishwa na nini ?
Wamethibitisha, fatilia kaka... Na wewe Mungu alisababishwa na nini?
 
Wamethibitisha, fatilia kaka... Na wewe Mungu alisababishwa na nini?
kutokana na sayansi na physics kitu hakiwezi kuwepo tu.

Mungu ni Highest poWer beyond Human understanding, Alikwepo Yupo na Atakwepo.

kutokana na Phsics huwezi kusema kitu kipo Tu, its against the laws of Physics.
sasa kwanini unashindwa ku thibitisha BigBang ?
 
Basi hata big bang Ilikuwepo tu, haikuwa na chanzo
 
Haiingii Akilini kuwa ati kila kitu kimetokea tu by chance na kwamba hakuna Designer napia sio huyu Mungu wa kwenye Vitabu vya Mwanadamu Mungu anaeamuru wafuasi wake waue Makafiri.
 
Mungu alikwepo miaka na miaka, hata babu zetu walishamjua kabla,

labda wewe unachanganya Dini na Mungu

wazungu wameleta Ukristo waarabu wameleta Uislamu

babu zetu walikua na imani yao kulingana na kila kabila ambazo pia tunaweza kuzi term kama Dini

Dini ni approach ya kumfikia Mungu

Dini ni nyingi na zinaweza kutofautiana mafundisho na approach ya kumuomba Mungu

ila dini zote zina amiini kwenye Highest Power

Zinaamini kwenye Nguvu inayoshinda uwezo wa Binadamu yeyote,

hata kama wanaiita kwa majina tofauti,

tangu bunadamu awepo duniani amejikuta akiamini kuna nguvu iliyo kuu,

wanaopinga uwepo wa Mungu ndo walikuja baadae !
Una uhakika gani kuwa binadamu alijikuta akiamini hivo? Sema aliaminishwa. Je,tusiomuamini sisi siyo binadamu? Alooo.
Wahindi wanaoabudu miungu yao,mnawazidi nini!
Na uache ujuaji sasa. Misifa na mipambo mnayompa Mungu wenu wa kileo,huyo huyo mnaetaka kumfikia kupitia ukristo na uislam,hanaga. Na uache ubishi. Uislam na ukristo vililetwa kumtambulisha Mungu huyo. Na mababu zako walikuwa na mnavyoita miungu,siyo Mungu.
 
Haiingii Akilini kuwa ati kila kitu kimetokea tu by chance na kwamba hakuna Designer napia sio huyu Mungu wa kwenye Vitabu vya Mwanadamu Mungu anaeamuru wafuasi wake waue Makafiri.
Safi sana. Je,inaingiaje akilini huyo Mungu anaewapenda watu wake,anaewalinda,awaache wafe kama sisimizi kila kona? Kama ana akili,angeruhusu watu watengeneze siraha za kuangamiza wenzao? Kama yupo,basini mbaguzi. Na huyo wa hivyo,basi aaminike kwa anaowapa nguvu ya kutenda maovu,na akanwe kwa anaowanyanyasa na kuwatesa.
 
hicho kitu behind ambacho wameshindwa kukielewa na kukiita Mungu,

kama wewe umekielewa ndo utuelezee utupe na Jina,
ili kuthibitisha Mungu Hayupo.

kwasababu unatuacha njiani ukisema tu Hayupo bila kueleza na kutuelewesha hayo unayosema "binadamu wameshindwa kuelewa"
Je,wewe una sababu za kuelezea uwepo wake? Mi naona anaemuamini,akae kivyake na Mungu wake,asiemuamini nae aishi hivo hivo kivyake. Hatuna sababu ya kutaka watu waamini tunavyotaka sisi
 
Una uhakika gani kuwa binadamu alijikuta akiamini hivo? Sema aliaminishwa. Je,tusiomuamini sisi siyo binadamu? Alooo.
Wahindi wanaoabudu miungu yao,mnawazidi nini!
Na uache ujuaji sasa. Misifa na mipambo mnayompa Mungu wenu wa kileo,huyo huyo mnaetaka kumfikia kupitia ukristo na uislam,hanaga. Na uache ubishi. Uislam na ukristo vililetwa kumtambulisha Mungu huyo. Na mababu zako walikuwa na mnavyoita miungu,siyo Mungu.
kwani huu uzi unaongelea nini mkuu,

ata hao wanaoabudu miungu, wanaamingi kwenye higher power, uungu,

kwaiyo hao wote unaowasema sio Atheists

wewe unajikua Aheist kumbe unafata mkumbo na hamna kitu unaelewa

"soma kwa hatua"
 
Haiingii Akilini kuwa ati kila kitu kimetokea tu by chance na kwamba hakuna Designer napia sio huyu Mungu wa kwenye Vitabu vya Mwanadamu Mungu anaeamuru wafuasi wake waue Makafiri.
Bora hata wewe Imhotep umeweza kujiuliza Ivo, iyo ilikuwa Ivo tangu zamani wazee wetu nao walijiuliza Ivo, nini chanzo Cha ulimwengu, mwanadamu ametokea wapi..
Mda wote huo Uyo Mungu hajawah kusikika Wala kuonekana, Sasa izo Sheria za usifanye mapenzi kabla ya ndoa, mara usifanye kazi jumamosi, au umiliki watumwa, au mwanamke afai kuwa kiongozi, au usile nguruwe. Zilitoka wapi hizi Sheria, wakati hakuna anaemjua Mungu, Wala Ambae amewah kumuona.
 
anaewapenda watu wake,anaewalinda,awaache wafe kama sisimizi kila kona? Kama ana akili,angeruhusu
Nadhani Mungu sio kwamba anatupenda. sana kwake sisi ni kama ZOO au Serengeti anatuangalia kama vile sisi tunavowaangalia Wanyamapori wanavyokulana wao kwa wao.

Mungu ameweka Chuma Shaba nk. Ukiviyayusha na kutengeneza Mkuki na Mshale na kuwachoma wenzako hiyo sio Mungu tena hiyo ni wewe na maarifa yako.
 
Nadhani Mungu sio kwamba anatupenda sana kwake sisi ni kama ZOO au Serengeti anatuangalia kama vile sisi tunavowaangalia Wanyamapori wanavyokulana wao kwa wao.

Mungu ameweka Chuma Shaba nk. Ukiviyayusha na kutengeneza Mkuki na Mshale na kuwachoma wenzako hiyo sio Mungu tena hiyo ni wewe na maarifa yako.
Imhotep iyo concept ya Mungu Ipo kwenye imagination yetu tu, lakini hamna anaeamini anaweza kuthibitisha yupo, coz hayupo.
Why, umeamua kuamini tu bila ushahidi?
Uyo Mungu hayupo, angekuwepo tungekuwa tumeshamuona.
 
Nimekuuliza tena na tena Dark Enargie umeshawahi kuiona?!
Sijawah kuiona, lakini imethibitishwa kaka, ivi ni vtu viwili tofauti, Mungu hawez thibitishwa sababu hayupo, dark matter ipo sababu imethibitishwa kisayansi.
 
brain-universe.jpg

Sasa hivi Wanazuoni wanajiuliza kuwa mbona Universe inafanana sana na Ubongo wa Mwanadamu?!

Labda tunaishi ndani ya Mwili wa Mungu kama walivyo Bakteria kwenye miili yetu.
 
Back
Top Bottom