Wamethibitisha, fatilia kaka... Na wewe Mungu alisababishwa na nini?ok kama wamethibitisha kulikua bigbang ( ingawa hawawezi kuthibitisha ni theory tuu bado)
je wanaeleza hiyo bigbang ilisababishwa na nini ?
kutokana na sayansi na physics kitu hakiwezi kuwepo tu.Wamethibitisha, fatilia kaka... Na wewe Mungu alisababishwa na nini?
Basi hata big bang Ilikuwepo tu, haikuwa na chanzokutokana na sayansi na physics kitu hakiwezi kuwepo tu.
Mungu ni Highest poWer beyond Human understanding, Alikwepo Yupo na Atakwepo.
kutokana na Phsics huwezi kusema kitu kipo Tu, its against the laws of Physics.
sasa kwanini unashindwa ku thibitisha BigBang ?
Una uhakika gani kuwa binadamu alijikuta akiamini hivo? Sema aliaminishwa. Je,tusiomuamini sisi siyo binadamu? Alooo.Mungu alikwepo miaka na miaka, hata babu zetu walishamjua kabla,
labda wewe unachanganya Dini na Mungu
wazungu wameleta Ukristo waarabu wameleta Uislamu
babu zetu walikua na imani yao kulingana na kila kabila ambazo pia tunaweza kuzi term kama Dini
Dini ni approach ya kumfikia Mungu
Dini ni nyingi na zinaweza kutofautiana mafundisho na approach ya kumuomba Mungu
ila dini zote zina amiini kwenye Highest Power
Zinaamini kwenye Nguvu inayoshinda uwezo wa Binadamu yeyote,
hata kama wanaiita kwa majina tofauti,
tangu bunadamu awepo duniani amejikuta akiamini kuna nguvu iliyo kuu,
wanaopinga uwepo wa Mungu ndo walikuja baadae !
Safi sana. Je,inaingiaje akilini huyo Mungu anaewapenda watu wake,anaewalinda,awaache wafe kama sisimizi kila kona? Kama ana akili,angeruhusu watu watengeneze siraha za kuangamiza wenzao? Kama yupo,basini mbaguzi. Na huyo wa hivyo,basi aaminike kwa anaowapa nguvu ya kutenda maovu,na akanwe kwa anaowanyanyasa na kuwatesa.Haiingii Akilini kuwa ati kila kitu kimetokea tu by chance na kwamba hakuna Designer napia sio huyu Mungu wa kwenye Vitabu vya Mwanadamu Mungu anaeamuru wafuasi wake waue Makafiri.
Je,wewe una sababu za kuelezea uwepo wake? Mi naona anaemuamini,akae kivyake na Mungu wake,asiemuamini nae aishi hivo hivo kivyake. Hatuna sababu ya kutaka watu waamini tunavyotaka sisihicho kitu behind ambacho wameshindwa kukielewa na kukiita Mungu,
kama wewe umekielewa ndo utuelezee utupe na Jina,
ili kuthibitisha Mungu Hayupo.
kwasababu unatuacha njiani ukisema tu Hayupo bila kueleza na kutuelewesha hayo unayosema "binadamu wameshindwa kuelewa"
kwani huu uzi unaongelea nini mkuu,Una uhakika gani kuwa binadamu alijikuta akiamini hivo? Sema aliaminishwa. Je,tusiomuamini sisi siyo binadamu? Alooo.
Wahindi wanaoabudu miungu yao,mnawazidi nini!
Na uache ujuaji sasa. Misifa na mipambo mnayompa Mungu wenu wa kileo,huyo huyo mnaetaka kumfikia kupitia ukristo na uislam,hanaga. Na uache ubishi. Uislam na ukristo vililetwa kumtambulisha Mungu huyo. Na mababu zako walikuwa na mnavyoita miungu,siyo Mungu.
Bora hata wewe Imhotep umeweza kujiuliza Ivo, iyo ilikuwa Ivo tangu zamani wazee wetu nao walijiuliza Ivo, nini chanzo Cha ulimwengu, mwanadamu ametokea wapi..Haiingii Akilini kuwa ati kila kitu kimetokea tu by chance na kwamba hakuna Designer napia sio huyu Mungu wa kwenye Vitabu vya Mwanadamu Mungu anaeamuru wafuasi wake waue Makafiri.
Nadhani Mungu sio kwamba anatupenda. sana kwake sisi ni kama ZOO au Serengeti anatuangalia kama vile sisi tunavowaangalia Wanyamapori wanavyokulana wao kwa wao.anaewapenda watu wake,anaewalinda,awaache wafe kama sisimizi kila kona? Kama ana akili,angeruhusu
Imhotep iyo concept ya Mungu Ipo kwenye imagination yetu tu, lakini hamna anaeamini anaweza kuthibitisha yupo, coz hayupo.Nadhani Mungu sio kwamba anatupenda sana kwake sisi ni kama ZOO au Serengeti anatuangalia kama vile sisi tunavowaangalia Wanyamapori wanavyokulana wao kwa wao.
Mungu ameweka Chuma Shaba nk. Ukiviyayusha na kutengeneza Mkuki na Mshale na kuwachoma wenzako hiyo sio Mungu tena hiyo ni wewe na maarifa yako.
Nimekuuliza tena na tena Dark Enargie umeshawahi kuiona?!angekuwepo tungekuwa tumeshamuona.
Sijawah kuiona, lakini imethibitishwa kaka, ivi ni vtu viwili tofauti, Mungu hawez thibitishwa sababu hayupo, dark matter ipo sababu imethibitishwa kisayansi.Nimekuuliza tena na tena Dark Enargie umeshawahi kuiona?!
Imethibitishwaje?!Sijawah kuiona, lakini imethibitishwa kaka, ivi ni vtu viwili tofauti, Mungu hawez thibitishwa sababu hayupo, dark matter ipo sababu imethibitishwa kisayansi.
Falsafa imeikuta Dini.Hujui philosophy of religion?
Kupitia huble space telescope, NASA wamethibitisha uwepo wa dark matter kaka, naomba ufanye research kama uaminiImethibitishwaje?!
inasababishwa na nini ?Kupitia huble space telescope, NASA wamethibitisha uwepo wa dark matter kaka, naomba ufanye research kama uamini
Wameiona wameipima ina uzito gani?Kupitia huble space telescope, NASA wamethibitisha uwepo wa dark matter kaka, naomba ufanye research kama uamini