Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ukitaka kuthibitisha gravitational force ipo chukua jiwe rusha angani likiendelea kwenda angani basi gravitational force haipo.Mkuu wewe unaiamini science kama wengine wanavyomuamini Mungu
Wewe una uhakika gani kuna gravitational force ushawahi kuishika au kuihisi? Au unaiamini tu kuwa ipo kwakuwa umesoma vitabu vya uongo vya science vinavyotumia shuhuda za kiungu kuthibitisha?
Likirudi chini nenda kasome sayansi uone inavyo sema kisha utathibitisha mwenyewe.