Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Attachments

  • 1720352548008.gif
    1720352548008.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1720352968093.gif
    1720352968093.gif
    42 bytes · Views: 2
Nakupa tena huu mfano, kuwe na paka yupo kimya kwenye imaginary box Y, You can't verify kma yupo je, inatosha kusrma kma hayupo?????
I have so many reasons to doubt your reasoning
 
Kwa nini huanzi kujiuliza uwepo wa uyo Mungu ulikuwaje?

Uwepo wangu mimi hapa duniani ulitokana na wazazi wangu sio huyo Mungu.
Kwahiyo upeo wako ndio umeishia hapo?

Utaelewa tu kuwa Mungu yupo na wewe ni kilaza

Sasa nenda ukamulize baba yako shahawa zake zilizokuleta wewe hapa Duniani yeye alizipata wapi?

Naamini baba yako hawezi kuwa kilaza kama wewe atakupa jibu zuri la kuthibisha kuwa Mungu yupo
 
Nakupa tena huu mfano, kuwe na paka yupo kimya kwenye imaginary box Y, You can't verify kma yupo je, inatosha kusrma kma hayupo?????
U have so many reasons to doubt your reasoning
Kama huwezi ku verify huyo paka yupo kwenye hiyo imaginary box Y, Uliwezaje kujua box hilo lina paka ndani yake?

Kama umeweza kujua paka yupo kwenye imaginary box Y, Huoni kwamba umesha verify box Y, lina paka ndani yake ?

Huoni kwamba huo ni uthibitisho tosha kwamba ulimuona huyo paka kwenye hilo box ndipo ukaweza kujua yupo kabla ya kuuliza swali lako?

Ungekuwa hujui imaginary box Y, lina nini, Je ungeweza kujua kilichomo ndani yake?
 
Kwahiyo upeo wako ndio umeishia hapo?

Utaelewa tu kuwa Mungu yupo na wewe ni kilaza

Sasa nenda ukamulize baba yako shahawa zake zilizokuleta wewe hapa Duniani yeye alizipata wapi?

Naamini baba yako hawezi kuwa kilaza kama wewe atakupa jibu zuri la kuthibisha kuwa Mungu yupo
Na wewe kabla ya kuleta habari zako za uongo mwambie huyo Mungu wako aje hapa ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea.

Kama huyo Mungu wako yupo kweli, Aje hapa ajidhihirishe na ajitetee mwenyewe.

Kama huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wako na huyo Mungu wako hawezi kuja hapa kujidhihirisha na kujithibitisha mwenyewe,

Wewe pamoja na Mungu ni Vilaza na Waongo.
 
pitia text huko juu nadhani nilimuelezea kwa kina Kiranga

kama ameelewa aje akufafanulie
1.Mpaka sasa hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

2. Mpaka sasa hujatatua the problem of evil, kama hata unajua maana yake.

3. Hujaweza 1 na 2 kwa sababu Mungu hayupo.

4. Ukibisha, thibitisha Mungu yupo, halafu tatua the problem of evil.
 
Mtoa mada alisema
Na wewe kabla ya kuleta habari zako za uongo mwambie huyo Mungu wako aje hapa ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea.

Kama huyo Mungu wako yupo kweli, Aje hapa ajidhihirishe na ajitetee mwenyewe.

Kama huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wako na huyo Mungu wako hawezi kuja hapa kujidhihirisha na kujithibitisha mwenyewe,

Wewe pamoja na Mungu ni Vilaza na Waongo.
Mtoa mada alisema uwezo wa binadamu kiakili una limit na hili ndio linathibitika kwako Kwa sababu hata wewe mwenyewe haujijui umetokea wapi au ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani

Umesema hapa Duniani amekuleta baba yako
Unaweza kuthibitisha kuwa baba yako ana kiwanda Cha kutengeneza binadamu?

Unaweza kutoa mtiririko wa kuwepo kwenu hapa Duniani kuanzia wewe Hadi mtu wa Kwanza katika kizazi chenu?

Hayo maswali yote hauwezi kujibu Kwa sababu upeo wako wa kufikili una limit

Narudia tena uwepo wako wewe hapa Duniani ndio uthibitisho wangu kuwa Mungu yupo

Otherwise weka uthibitisho kuanzia wewe Hadi mtu wa Kwanza katika kizazi chenu mlitoka wapi
 
So, wote mnakubali kama Mungu yupo ila dini ndo mnazikataa?? Labda mnieleze vizuri hapa, ukute tunabishana alafu hakuna mada
M7MGU YUPO ILA TUNAFAUTIANA KWENYE TAFUSIRI YA MUNGU NI NANI NA YUKOJE. HATA VITABU VYADINI VINATAFAUTIANA NAMNA VINAVYO MUELEZEA MUNGU. MUNGU YUPO KATIKA KILA FIKIRA YA BINADAMU . NDIO MAANA WATU WAKIZIDIWA NA SHIDA WANAENDA KUOMBA MSADAA KWENYE IMANI ZAO. KUNAWANAO WANAO ENDA KWENYE NYUMBA ZA KUABUDIA. KUNAWANAO ENDA KWENYE MAKABURI YA BABU ZAO, KUNA WANAO ENDA KWA WAGAGA WA JADI ,KUNA WANAO ENDA KWA WACHAWI. KUNA WANAO KWENDA KUABUNDU WANYAMA. NK. WOTE HAO hakuna anaye juwa kama njia yake ya maombi kama ni sahihi au la . Shida ya watu wanao amini katika imani zao hawajui na hawajui kama hawajui.
 
Mkuu Elewa kwanza basi,
Mimi sitaki unithibitishie kama hayupo, nataka unielezee logically hadi ukafikia conclusion hayupo. Otherwise uko tu brainwashed na ideas za mtu anayefikiria mungu hayupo na wewe ukalibeba zima zima kama mtu asiye na ubongo
Hayupo
 
Unahangaika kumuongelea huyo Mungu, kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe.

Automatically habari zako za kutaka kumuongelea huyo Mungu niza uongo kwa vile huyo Mungu hawezi na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe.
Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza. Endelea kuruka ruka.
 
Kwa hivo unataka nikueleze mvua inavotengenezwa, badala ya kujibu hoja ya wewe kuthibitisha uyo Mungu wako yupo!. Huoni kama unakuwa unabadilisha mada?

Unajua ya kuwa najenga hoja juu ya vile mnavyo viandika. Vile ambavyo nyinyi mnaona ni sahihi.

Suala la uwepo wa Mungu, liko wazi na limeshathibitishwa zaidi ya mara mia humu. Huku tutafika.

Umesema unaamini Sayansi, Sasa elezea hicho unachokiamini ili tuone ukweli wenu. Kinyume na hapo, katika mada hii mlitakiwa make kimya sababu hata mnavyoviandika mnashindwa kuvitetea pia.
 
Mwisho wa siku, Imani juu ya uwepo wa Mungu inabaki kuwa Imani tu, hakuna anae weza kuthibitisha. Mungu, yesu, majini, malaika wachawi, watabaki ku exist kwenye imagination zetu tu, lakini physically hawapo.
Ukishaona Mungu anayesemwa kuwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anahitaji uthibitisho, huko kuhitaji uthibitisho nako nibushahidi kwamba hayupo.

Angekuwapo angejithibitisha mwenyewe kwa uwazi bila utata kwa kila kiumbe popote nuda wowote kwa namna ambayo tusingehitaji uthibitisho wowote.

Yani, ni hivi, mjadala wowote wa kuhitaji uthibitisho wa huyo Mungu kuwapo ni uthibitisho kwamba huyo Mungu hayupo.
 
Mtoa mada alisema

Mtoa mada alisema uwezo wa binadamu kiakili una limit na hili ndio linathibitika kwako Kwa sababu hata wewe mwenyewe haujijui umetokea wapi au ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani
Nimekwambia nimetoka kwa baba na mama.
Umesema hapa Duniani amekuleta baba yako
Unaweza kuthibitisha kuwa baba yako ana kiwanda Cha kutengeneza binadamu?
Aliyekwambia binadamu anatengenezwa kiwandani ni nani

Unaweza kutoa mtiririko wa kuwepo kwenu hapa Duniani kuanzia wewe Hadi mtu wa Kwanza katika kizazi chenu?
Hakuna mtu wa kwanza hapa duniani.
Hayo maswali yote hauwezi kujibu Kwa sababu upeo wako wa kufikili una limit
Aliyekwambia siwezi kujibu ni nani?
Narudia tena uwepo wako wewe hapa Duniani ndio uthibitisho wangu kuwa Mungu yupo
Huu sio uthibitisho bali ni madai yako uchwara unayo yaita uthibitisho.
Otherwise weka uthibitisho kuanzia wewe Hadi mtu wa Kwanza katika kizazi chenu mlitoka wapi
Tumetoka kwenye dunia ambayo ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo milele.
 
Ukienda Mbinguni ukimkuta itakuwaje ?
Kumkuta yupi kati ya hawa?

A, Adad, Adapa, Adrammelech, Aeon, Agasaya, Aglibol, Ahriman, Ahura Mazda, Ahurani, Ai-ada, Al-Lat, Aja, Aka, Alalu, Al-Lat, Amm, Al-Uzza (El-'Ozza or Han-Uzzai), An, Anahita, Anath (Anat), Anatu, Anbay, Anshar, Anu, Anunitu, An-Zu, Apsu, Aqhat, Ararat, Arinna, Asherali, Ashnan, Ashtoreth, Ashur, Astarte, Atar, Athirat, Athtart, Attis, Aya, Baal (Bel), Baalat (Ba'Alat), Baau, Basamum, Beelsamin, Belit-Seri, Beruth, Borak, Broxa, Caelestis, Cassios, Lebanon, Antilebanon, and Brathy, Chaos, Chemosh, Cotys, Cybele, Daena, Daevas, Dagon, Damkina, Dazimus, Derketo, Dhat-Badan, Dilmun, Dumuzi (Du'uzu), Duttur, Ea, El, Endukugga, Enki, Enlil, Ennugi, Eriskegal, Ereshkigal (Allatu), Eshara, Eshmun, Firanak, Fravashi, Gatamdug, Genea, Genos, Gestinanna, Gula, Hadad, Hannahanna, Hatti, Hea, Hiribi, The Houri, Humban, Innana, Ishkur, Ishtar, Ithm, Jamshid or Jamshyd, Jehovah, Jesus, Kabta, Kadi, Kamrusepas, Ki (Kiki), Kingu, Kolpia, Kothar-u-Khasis, Lahar, Marduk, Mari, Meni, Merodach, Misor, Moloch, Mot, Mushdama, Mylitta, Naamah, Nabu (Nebo), Nairyosangha, Nammu, Namtaru, Nanna, Nebo, Nergal, Nidaba, Ninhursag or Nintu, Ninlil, Ninsar, Nintur, Ninurta, Pa, Qadshu, Rapithwin, Resheph (Mikal or Mekal), Rimmon, Sadarnuna, Shahar, Shalim, Shamish, Shapshu, Sheger, Sin, Siris (Sirah), Taautos, Tammuz, Tanit, Taru, Tasimmet, Telipinu, Tiamat, Tishtrya, Tsehub, Utnapishtim, Utu, Wurusemu, Yam, Yarih (Yarikh), Yima, Zaba, Zababa, Zam, Zanahary (Zanaharibe), Zarpandit, Zarathustra, Zatavu, Zazavavindrano, Ziusudra, Zu (Imdugud), Zurvan

China (170):
Ba, Caishen, Chang Fei, Chang Hsien, Chang Pan, Ch'ang Tsai, Chao san-Niang, Chao T'eng-k'ang, Chen Kao, Ch'eng Huang, Cheng San-Kung, Cheng Yuan-ho, Chi Po, Chien-Ti, Chih Jih, Chih Nii, Chih Nu, Ch'ih Sung-tzu, Ching Ling Tzu, Ch'ing Lung, Chin-hua Niang-niang, Chio Yuan-Tzu, Chou Wang, Chu Niao, Chu Ying, Chuang-Mu, Chu-jung, Chun T'i, Ch'ung Ling-yu, Chung Liu, Chung-kuei, Chung-li Ch'an, Di Jun, Fan K'uei, Fei Lien, Feng Pho-Pho, Fengbo, Fu Hsing, Fu-Hsi, Fu-Pao, Gaomei, Guan Di, Hao Ch'iu, Heng-o, Ho Po (Ping-I), Hou Chi, Hou T'u, Hsi Ling-su, Hsi Shih, Hsi Wang Mu, Hsiao Wu, Hsieh T'ien-chun, Hsien Nung, Hsi-shen, Hsu Ch'ang, Hsuan Wen-hua, Huang Ti, Huang T'ing, Huo Pu, Hu-Shen, Jen An, Jizo Bosatsu, Keng Yen-cheng, King Wan, Ko Hsien-Weng, Kuan Ti, Kuan Ti, Kuei-ku Tzu, Kuo Tzu-i, Lai Cho, Lao Lang, Lei Kung, Lei Tsu, Li Lao-chun, Li Tien, Liu Meng, Liu Pei, Lo Shen, Lo Yu, Lo-Tsu Ta-Hsien, Lu Hsing, Lung Yen, Lu-pan, Ma-Ku, Mang Chin-i, Mang Shen, Mao Meng, Men Shen, Miao Hu, Mi-lo Fo, Ming Shang, Nan-chi Hsien-weng, Niu Wang, Nu Wa, Nu-kua, Pa, Pa Cha, Pai Chung, Pai Liu-Fang, Pai Yu, P'an Niang, P'an-Chin-Lien, Pao Yuan-ch'uan, Phan Ku, P'i Chia-Ma, Pien Ho, San Kuan, Sao-ch'ing Niang, Sarudahiko, Shang Chien, Shang Ti, She chi, Shen Hsui-Chih, Shen Nung, Sheng Mu, Shih Liang, Shiu Fang, Shou-lao, Shun I Fu-jen, Sien-Tsang, Ssu-ma Hsiang-ju, Sun Pin, Sun Ssu-miao, Sung-Chiang, Tan Chu, T'ang Ming Huang, Tao Kung, T'ien Fei, Tien Hou, Tien Mu, Ti-tsang, Tsai Shen, Ts'an Nu, Ts'ang Chien, Tsao Chun, Tsao-Wang, T'shai-Shen, Tung Chun, T'ung Chung-chung, T'ung Lai-yu, Tung Lu, T'ung Ming, Tzu-ku Shen, Wa, Wang Ta-hsien, Wang-Mu-Niang-Niang, Weiwobo, Wen-ch'ang, Wu-tai Yuan-shuai, Xi Hou, Xi Wangmu, Xiu Wenyin, Yanwang, Yaoji, Yen-lo, Yen-Lo-Wang, Yi, Yu, Yu Ch'iang, Yu Huang, Yun-T'ung, Yu-Tzu, Zaoshen, Zhang Xi, , Zhin, Zhongguei, , Zigu Shen, , Zisun, Ch'ang-O

balto slavic: (125)
Aba-khatun, Aigiarm, Ajysyt, Alkonost, Almoshi, Altan-Telgey, Ama, Anapel, As-ava, Ausaitis, Austeja, Ayt'ar, Baba Yaga (Jezi Baba), Belobog (Belun), Boldogasszony, Breksta, Bugady Musun, Chernobog (Crnobog, Czarnobog, Czerneboch, Cernobog), Cinei-new, Colleda (Koliada), Cuvto-ava, Dali, Darzu-mate, Dazhbog, Debena, Devana, Diiwica (Dilwica), Doda (Dodola), Dolya, Dragoni, Dugnai, Dunne Enin, Edji, Elena, Erce, Etugen, Falvara, The Fates, The Fatit, Gabija, Ganiklis, Giltine, Hotogov Mailgan, Hov-ava, Iarila, Isten, Ja-neb'a, Jedza, Joda-mate, Kaldas, Kaltes, Keretkun, Khadau, Khursun (Khors), Kostrubonko, Kovas, Krumine, Kupala, Kupalo, Laima, Leshy, Marina, Marzana, Matergabiae, Mat Syra Zemlya, Medeine, Menu (Menulis), Mir-Susne-Khum, Myesyats, Nastasija, (Russia) Goddess of sleep., Nelaima, Norov, Numi-Tarem, Nyia, Ora, Ot, Patollo, Patrimpas, Pereplut, Perkuno, Perun, Pikuolis, Pilnytis, Piluitus, Potrimpo, Puskaitis, Rod, Rugevit, Rultennin, Rusalki, Sakhadai-Noin, Saule, Semargl, Stribog, Sudjaje, Svantovit (Svantevit, Svitovyd), Svarazic (Svarozic, Svarogich), Tengri, Tairgin, Triglav, Ulgen (Ulgan, lgn), Veles (Volos), Vesna, Xatel-Ekwa, Xoli-Kaltes, Yamm, Yarilo, Yarovit, Ynakhsyt, Zaria, Zeme mate, Zemyna, Ziva (Siva), Zizilia, Zonget, Zorya, Zvoruna, Zvezda Dennitsa, Zywie

Hindu (72):
Aditi, Adityas, Ambika, Ananta (Shesha), Annapurna (Annapatni), Aruna, Ashvins, Balarama, Bhairavi, Brahma, Buddha, Dakini, Devi, Dharma, Dhisana, Durga, Dyaus, Ganesa (Ganesha), Ganga (Ganges), Garuda, Gauri, Gopis, Hanuman, Hari-Hara, Hulka Devi, Jagganath, Jyeshtha, Kama, Karttikeya, Krishna, Krtya, Kubera, Kubjika, Lakshmi or Laksmi, Manasha, Manu, Maya, Meru, Nagas, Nandi, Naraka, Nataraja, Nirriti, Parjanya, Parvati, Paurnamasi, Prithivi, Purusha, Radha, Rati, Ratri, Rudra, Sanjna, Sati, Shashti, Shatala, Sitala (Satala), Skanda, Sunrta, Surya, Svasti-devi, Tvashtar, Uma, Urjani, Vach, Varuna, Vayu, Vishnu (Avatars of Vishnu: Matsya; Kurma; Varaha; Narasinha; Vamana; Parasurama; Rama; Krishna; Buddha; Kalki), Vishvakarman, Yama, Sraddha

Japan (53):
Aji-Suki-Taka-Hi-Kone, Ama no Uzume, Ama-terasu, Amatsu Mikaboshi, Benten (Benzai-Ten), Bishamon, Chimata-No-Kami, Chup-Kamui, Daikoku, Ebisu, Emma-O, Fudo, Fuji, Fukurokuju, Gekka-O, Hachiman, Hettsui-No-Kami, Ho-Masubi, Hotei, Inari, Izanagi and Izanami, Jizo Bosatsu, Jurojin, Kagutsuchi, Kamado-No-Kami, Kami, Kawa-No-Kami, Kaya-Nu-Hima, Kishijoten, Kishi-Mojin, Kunitokotatchi, Marici, Monju-Bosatsu, Nai-No-Kami, No-Il Ja-Dae, O-Kuni-Nushi, Omoigane, Raiden, Shine-Tsu-Hiko, Shoten, Susa-no-wo, Tajika-no-mikoto, Tsuki-yomi, Uka no Mitanna, Uke-mochi, Uso-dori, Uzume, Wakahirume, Yainato-Hnneno-Mikoi, Yama-No-Kami, Yama-no-Karni, Yaya-Zakurai, Yuki-Onne

India (43)
Agni, Ammavaru, Asuras, Banka-Mundi, Brihaspati, Budhi Pallien, Candi, Challalamma, Chinnintamma, Devas, Dyaush, Gauri-Sankar, Grhadevi, Gujeswari, Indra, Kali, Lohasur Devi, Mayavel, Mitra, Prajapati, Puchan, Purandhi, Rakshas, Rudrani, Rumina, Samundra, Sarasvati, Savitar, Siva (Shiva), Soma, Sura, Surabhi, Tulsi, Ushas, Vata, Visvamitra, Vivasvat, Vritra, Waghai Devi, Yaparamma, Yayu, Zumiang Nui, Diti

Other Asian: (31)
Dewi Shri, Po Yan Dari, Shuzanghu, Antaboga, Yakushi Nyorai, Mulhalmoni, Tankun, Yondung Halmoni, Aryong Jong, Quan Yin , Tengri, Uminai-gami, Kamado-No-Kami, Kunitokotatchi, Giri Devi, Dewi Nawang Sasih, Brag-srin-mo, Samanta-Bhadra, Sangs-rgyas-mkh, Sengdroma, Sgeg-mo-ma, Tho-og, Ui Tango, Yum-chen-mo, Zas-ster-ma-dmar-mo, Chandra, Dyaus, Ratri, Rodasi, Vayu, Au-Co

African: 250 Gods, Demigods and First Men
Abassi , Abuk , Adu Ogyinae , Ag, Agwe , Aida Wedo , Ajalamo, Aje, Ajok, Akonadi, Akongo, Akuj, Amma, Anansi, Asase Yaa, Ashiakle, Atai , Ayaba, Aziri, Baatsi, Bayanni, Bele Alua, Bomo rambi, Bosumabla, Buk, Buku, Bumba, Bunzi, Buruku, Cagn, Candit, Cghene, Coti, Damballah-Wedo, Dan, Deng, Domfe, Dongo, Edinkira, Ef�, Egungun-oya, Eka Abassi, Elephant Girl Mbombe, Emayian, Enekpe, En-Kai, Eseasar, Eshu, Esu, Fa, Faran, Faro, Fatouma, Fidi Mukullu, Fon, Gleti, Gonzuole, G, Gua, Gulu, Gunab, Hammadi, Hbiesso, Iku, Ilankaka, Imana, Iruwa, Isaywa, Juok, Kazooba, Khakaba, Khonvum, Kibuka, Kintu, Leb, Leza, Libanza, Lituolone, Loko, Marwe, Massim Biambe, Mawu-Lisa (Leza), Mboze, Mebeli, Minepa, Moombi, Mukameiguru, Mukasa, Muluku, Mulungu, Mwambu, Nai, Nambi, Nana Buluku, Nanan-Bouclou, Nenaunir, Ng Ai, Nyaliep, Nyamb, Nyankopon, Nyasaye, Nzame, Oboto, Obumo, Odudua-Orishala, Ogun, Olokun, Olorun, Orisha Nla, Orunmila, Osanyin, Oshe, Osun, Oya, Phebele, Pokot-Suk, Ralubumbha, Rugaba, Ruhanga, Ryangombe, Sagbata, Shagpona, Shango, Sopona, Tano, Thixo, Tilo, Tokoloshi, Tsui, Tsui'goab, Umvelinqangi, Unkulunkulu, Utixo, Wak, Wamara, Wantu Su, Wele, Were, Woto, Xevioso, Yangombi, Yemonja, Ymoa, Ymoja, Yoruba, Zambi, Zanahary , Zinkibaru,

Australian: 93 Gods, Goddesses and Places in the Dreamtime
Alinga, Anjea, Apunga, Arahuta, Ariki, Arohirohi, Bamapana, Banaitja, Bara, Barraiya, Biame, Bila, Boaliri, Bobbi-bobbi, Bunbulama, Bunjil, Cunnembeille, Daramulum, Dilga, Djanggawul Sisters, Eingana, Erathipa, Gidja , Gnowee, Haumia, Hine Titama, Ingridi, Julana, Julunggul, Junkgowa, Karora, Kunapipi-Kalwadi-Kadjara, Lia, Madalait, Makara, Nabudi, Palpinkalare, Papa, Rangi, Rongo, Tane, Tangaroa, Tawhiri-ma-tea, Tomituka, Tu, Ungamilia, Walo, Waramurungundi, Wati Kutjarra, Wawalag Sisters, Wuluwaid, Wuragag, Wuriupranili, Wurrunna, Yhi,

Buddhism: 10 Gods and Relatives of God
Aizen-Myoo, Ajima,Dai-itoku-Myoo, Fudo-Myoo, Gozanze-Myoo, Gundari-Myoo, Hariti, Kongo-Myoo, Kujaku-Myoo, Ni-O,

Carribean: 62 Gods, Monsters and Vodun Spirits
Agaman Nibo , Agwe, Agweta, Ah Uaynih, Aida Wedo , Atabei , Ayida , Ayizan, Azacca, Baron Samedi, Ulrich, Ellegua, Ogun, Ochosi, Chango, Itaba, Amelia, Christalline, Clairm, Clairmezin, Coatrischie, Damballah , Emanjah, Erzuli, Erzulie, Ezili, Ghede, Guabancex, Guabonito, Guamaonocon, Imanje, Karous, Laloue-diji, Legba, Loa, Loco, Maitresse Amelia , Mapiangueh, Marie-aime, Marinette, Mombu, Marassa, Nana Buruku, Oba, Obtala, Ochu, Ochumare, Oddudua, Ogoun, Olokum, Olosa, Oshun, Oya, Philomena, Sir�ne, The Diablesse, Itaba, Tsilah, Ursule, Vierge, Yemaya , Zaka,

Celtic: 166 Gods, Goddesses, Divine Kings and Pagan Saints
Abarta, Abna, Abnoba, Aine, Airetech,Akonadi, Amaethon, Ameathon, An Cailleach, Andraste, Antenociticus, Aranrhod, Arawn, Arianrod, Artio, Badb,Balor, Banbha, Becuma, Belatucadros, Belatu-Cadros, Belenus, Beli,Belimawr, Belinus, Bendigeidfran, Bile, Blathnat, Blodeuwedd, Boann, Bodus,Bormanus, Borvo, Bran, Branwen, Bres, Brigid, Brigit, Caridwen, Carpantus,Cathbadh, Cecht, Cernach, Cernunnos, Cliodna, Cocidius, Conchobar, Condatis, Cormac,Coronus,Cosunea, Coventina, Crarus,Creidhne, Creirwy, Cu Chulainn, Cu roi, Cuda, Cuill,Cyhiraeth,Dagda, Damona, Dana, Danu, D'Aulnoy,Dea Artio, Deirdre , Dewi, Dian, Diancecht, Dis Pater, Donn, Dwyn, Dylan, Dywel,Efnisien, Elatha, Epona, Eriu, Esos, Esus, Eurymedon,Fedelma, Fergus, Finn, Fodla, Goewyn, Gog, Goibhniu, Govannon , Grainne, Greine,Gwydion, Gwynn ap Nudd, Herne, Hu'Gadarn, Keltoi,Keridwen, Kernunnos,Ler, Lir, Lleu Llaw Gyffes, Lludd, Llyr, Llywy, Luchta, Lug, Lugh,Lugus, Mabinogion,Mabon, Mac Da Tho, Macha, Magog, Manannan, Manawydan, Maponos, Math, Math Ap Mathonwy, Medb, Moccos,Modron, Mogons, Morrig, Morrigan, Nabon,Nantosuelta, Naoise, Nechtan, Nedoledius,Nehalennia, Nemhain, Net,Nisien, Nodens, Noisi, Nuada, Nwywre,Oengus, Ogma, Ogmios, Oisin, Pach,Partholon, Penard Dun, Pryderi, Pwyll, Rhiannon, Rosmerta, Samhain, Segidaiacus, Sirona, Sucellus, Sulis, Taliesin, Taranis, Teutates, The Horned One,The Hunt, Treveni,Tyne, Urien, Ursula of the Silver Host, Vellaunus, Vitiris, White Lady,

Egyptian: 85 Gods, Gods Incarnate and Personified Divine Forces:
Amaunet, Amen, Amon, Amun, Anat, Anqet, Antaios, Anubis, Anuket, Apep, Apis, Astarte, Aten, Aton, Atum, Bastet, Bat, Buto, Duamutef, Duamutef, Hapi, Har-pa-khered, Hathor, Hauhet, Heket, Horus, Huh, Imset, Isis, Kauket, Kebechsenef, Khensu, Khepri, Khnemu, Khnum, Khonsu, Kuk, Maahes, Ma'at, Mehen, Meretseger, Min, Mnewer, Mut, Naunet, Nefertem, Neith, Nekhbet, Nephthys, Nun, Nut, Osiris, Ptah, Ra , Re, Renenet, Sakhmet, Satet, Seb, Seker, Sekhmet, Serapis, Serket, Set, Seth, Shai, Shu, Shu, Sia, Sobek, Sokar, Tefnut, Tem, Thoth,

Hellenes (Greek) Tradition (540 Gods, Demigods, Divine Bastards)
Acidalia, Aello, Aesculapius, Agathe, Agdistis, Ageleia, Aglauros, Agne, Agoraia, Agreia, Agreie, Agreiphontes, Agreus, Agrios, Agrotera, Aguieus, Aidoneus, Aigiokhos, Aigletes, Aigobolos, Ainia,Ainippe, Aithuia , Akesios, Akraia, Aktaios, Alalkomene, Alasiotas, Alcibie, Alcinoe, Alcippe, Alcis,Alea, Alexikakos, Aligena, Aliterios, Alkaia, Amaltheia, Ambidexter, Ambologera, Amynomene,Anaduomene, Anaea, Anax, Anaxilea, Androdameia,Andromache, Andromeda, Androphonos, Anosia, Antandre,Antania, Antheus, Anthroporraistes, Antianara, Antianeira, Antibrote, Antimache, Antimachos, Antiope,Antiopeia, Aoide, Apatouria, Aphneius, Aphrodite, Apollo, Apotropaios, Areia, Areia, Areion, Areopagite, Ares, Areto, Areximacha,Argus, Aridnus,Aristaios, Aristomache, Arkhegetes, Arktos, Arretos, Arsenothelys, Artemis, Asclepius, Asklepios, Aspheleios, Asteria, Astraeos , Athene, Auxites, Avaris, Axios, Axios Tauros,Bakcheios, Bakchos, Basileus, Basilis, Bassareus, Bauros, Boophis, Boreas , Botryophoros, Boukeros, Boulaia, Boulaios, Bremusa,Bromios, Byblis,Bythios, Caliope, Cedreatis, Celaneo, centaur, Cerberus, Charidotes, Charybdis, Chimera, Chloe, Chloris , Choreutes, Choroplekes, Chthonios, Clete, Clio, clotho,Clyemne, cockatrice, Crataeis, Custos, Cybebe, Cybele, Cyclops, Daphnaia, Daphnephoros, Deianeira, Deinomache, Delia, Delios, Delphic, Delphinios, Demeter, Dendrites, Derimacheia,Derinoe, Despoina, Dikerotes, Dimeter, Dimorphos, Dindymene, Dioktoros, Dionysos, Discordia, Dissotokos, Dithyrambos, Doris, Dryope,Echephyle,Echidna, Eiraphiotes, Ekstatophoros, Eleemon, Eleuthereus, Eleutherios, Ennosigaios, Enodia, Enodios, Enoplios, Enorches, Enualios, Eos , Epaine, Epidotes, Epikourios, Epipontia, Epitragidia, Epitumbidia, Erato, Ergane, Eribromios, Erigdoupos, Erinus, Eriobea, Eriounios, Eriphos, Eris, Eros,Euanthes, Euaster, Eubouleus, Euboulos, Euios, Eukhaitos, Eukleia, Eukles, Eumache, Eunemos, Euplois, Euros , Eurybe,Euryleia, Euterpe, Fates,Fortuna, Gaia, Gaieokhos, Galea, Gamelia, Gamelios, Gamostolos, Genetor, Genetullis, Geryon, Gethosynos, giants, Gigantophonos, Glaukopis, Gorgons, Gorgopis, Graiae, griffin, Gynaikothoinas, Gynnis, Hagisilaos, Hagnos, Haides, Harmothoe, harpy, Hegemone, Hegemonios, Hekate, Hekatos, Helios, Hellotis, Hephaistia, Hephaistos, Hera, Heraios, Herakles, Herkeios, Hermes, Heros Theos, Hersos, Hestia, Heteira, Hiksios, Hipp, Hippia, Hippios, Hippoi Athanatoi, Hippolyte, Hippolyte II, Hippomache,Hippothoe, Horkos, Hugieia, Hupatos, Hydra, Hypate, Hyperborean, Hypsipyle, Hypsistos, Iakchos, Iatros, Idaia, Invictus, Iphito,Ismenios, Ismenus,Itonia, Kabeiria, Kabeiroi, Kakia, Kallinikos, Kallipugos, Kallisti, Kappotas, Karneios, Karpophoros, Karytis, Kataibates, Katakhthonios, Kathatsios, Keladeine, Keraunos, Kerykes, Khalinitis, Khalkioikos, Kharmon, Khera, Khloe, Khlori,Khloris,Khruse, Khthonia, Khthonios, Kidaria, Kissobryos, Kissokomes, Kissos, Kitharodos, Kleidouchos, Kleoptoleme, Klymenos, Kore, Koruthalia, Korymbophoros, Kourotrophos, Kranaia, Kranaios, Krataiis, Kreousa, Kretogenes, Kriophoros, Kronides, Kronos,Kryphios, Ktesios, Kubebe, Kupris, Kuprogenes, Kurotrophos, Kuthereia, Kybele, Kydoime,Kynthia, Kyrios, Ladon, Lakinia, Lamia, Lampter, Laodoke, Laphria, Lenaios, Leukatas, Leukatas, Leukolenos, Leukophruene, Liknites, Limenia, Limnaios, Limnatis, Logios, Lokhia, Lousia, Loxias, Lukaios, Lukeios, Lyaios, Lygodesma, Lykopis, Lyseus, Lysippe, Maimaktes, Mainomenos, Majestas, Makar, Maleatas, Manikos, Mantis, Marpe, Marpesia, Medusa, Megale, Meilikhios, Melaina, Melainis, Melanaigis, Melanippe,Melete, Melousa, Melpomene, Melqart, Meses, Mimnousa, Minotaur, Mneme, Molpadia,Monogenes, Morpho, Morychos, Musagates, Musagetes, Nebrodes, Nephelegereta, Nereus,Nete, Nike, Nikephoros, Nomios, Nomius, Notos , Nyktelios, Nyktipolos, Nympheuomene, Nysios, Oiketor, Okyale, Okypous, Olumpios, Omadios, Ombrios, Orithia,Orius,Ortheia, Orthos, Ourania, Ourios, Paelemona, Paian, Pais, Palaios, Pallas, Pan Megas, Panakhais, Pandemos, Pandrosos, Pantariste, Parthenos, PAsianax, Pasiphaessa, Pater, Pater, Patroos, Pegasus, Pelagia, Penthesilea, Perikionios, Persephone, Petraios, Phanes, Phanter, Phatria, Philios, Philippis, Philomeides, Phoebe, Phoebus, Phoenix, Phoibos, Phosphoros, Phratrios, Phutalmios, Physis, Pisto, Plouton, Polemusa,Poliakhos, Polias, Polieus, Polumetis, Polydektes, Polygethes, Polymnia, Polymorphos, Polyonomos, Porne, Poseidon, Potnia Khaos, Potnia Pheron, Promakhos, Pronoia, Propulaios, Propylaia, Proserpine, Prothoe, Protogonos, Prytaneia, Psychopompos, Puronia, Puthios, Pyrgomache, Python, Rhea, Sabazios, Salpinx, satyr, Saxanus, Scyleia,Scylla, sirens, Skeptouchos, Smintheus, Sophia, Sosipolis, Soter, Soteria, Sphinx, Staphylos, Sthenias, Sthenios, Strife, Summakhia, Sykites, Syzygia, Tallaios, Taureos, Taurokeros, Taurophagos, Tauropolos, Tauropon, Tecmessa, Teisipyte, Teleios, Telepyleia,Teletarches, Terpsichore, Thalestris, Thalia, The Dioskouroi, Theos, Theritas, Thermodosa, Thraso, Thyonidas, Thyrsophoros, Tmolene, Toxaris, Toxis, Toxophile,Trevia, Tricephalus, Trieterikos, Trigonos, Trismegestos, Tritogeneia, Tropaios, Trophonius,Tumborukhos, Tyche, Typhon, Urania, Valasca, Xanthippe, Xenios, Zagreus, Zathos, Zephryos , Zeus, Zeus Katakhthonios, Zoophoros

Native American: 711 Gods, Heroes, and Anthropomorphized Facets of Nature
Aakuluujjusi, Ab Kin zoc, Abaangui , Ababinili , Ac Yanto, Acan, Acat, Achiyalatopa , Acna, Acolmiztli, Acolnahuacatl, Acuecucyoticihuati, Adamisil Wedo, Adaox , Adekagagwaa , Adlet , Adlivun, Agloolik , Aguara , Ah Bolom Tzacab, Ah Cancum, Ah Chun Caan, Ah Chuy Kak, Ah Ciliz, Ah Cun Can, Ah Cuxtal, Ah hulneb, Ah Kin, Ah Kumix Uinicob, Ah Mun, Ah Muzencab, Ah Patnar Uinicob, Ah Peku, Ah Puch, Ah Tabai, Ah UincirDz'acab, Ah Uuc Ticab, Ah Wink-ir Masa, Ahau Chamahez, Ahau-Kin, Ahmakiq, Ahnt Alis Pok', Ahnt Kai', Aholi , Ahsonnutli , Ahuic, Ahulane, Aiauh, Aipaloovik , Ajbit, Ajilee , Ajtzak, Akbaalia , Akba-atatdia , Akhlut , Akhushtal, Akna , Akycha, Alaghom Naom Tzentel, Albino Spirit animals , Alektca , Alignak, Allanque , Allowat Sakima , Alom, Alowatsakima , Amaguq , Amala , Amimitl, Amitolane, Amotken , Andaokut , Andiciopec , Anerneq , Anetlacualtiliztli, Angalkuq , Angpetu Wi, Anguta, Angwusnasomtaka , Ani Hyuntikwalaski , Animal spirits , Aningan, Aniwye , Anog Ite , Anpao, Apanuugak , Apicilnic , Apikunni , Apotamkin , Apoyan Tachi , Apozanolotl, Apu Punchau, Aqalax , Arendiwane , Arnakua'gsak , Asdiwal , Asgaya Gigagei, Asiaq , Asin , Asintmah, Atacokai , Atahensic, Aticpac Calqui Cihuatl, Atira, Atisokan , Atius Tirawa , Atl, Atlacamani, Atlacoya, Atlatonin, Atlaua, Atshen , Auilix, Aulanerk , Aumanil , Aunggaak , Aunt Nancy , Awaeh Yegendji , Awakkule , Awitelin Tsta , Awonawilona, Ayauhteotl, Azeban, Baaxpee , Bacabs, Backlum Chaam, Bagucks , Bakbakwalanooksiwae , Balam, Baldhead , Basamacha , Basket Woman , Bead Spitter , Bear , Bear Medicine Woman , Bear Woman , Beaver , Beaver Doctor , Big Heads, Big Man Eater , Big Tail , Big Twisted Flute , Bikeh hozho, Bitol, Black Hactcin , Black Tamanous , Blind Boy , Blind Man , Blood Clot Boy , Bloody Hand , Blue-Jay , Bmola , Bolontiku, Breathmaker, Buffalo , Buluc Chabtan, Burnt Belly , Burnt Face , Butterfly , Cabaguil, Cacoch, Cajolom, Cakulha, Camaxtli, Camozotz, Cannibal Grandmother , Cannibal Woman , Canotila , Capa , Caprakan, Ca-the-a, Cauac, Centeotl, Centzonuitznaua, Cetan , Chac Uayab Xoc, Chac, Chahnameed , Chakwaina Okya, Chalchihuitlicue, Chalchiuhtlatonal, Chalchiutotolin, Chalmecacihuilt, Chalmecatl, Chamer, Changing Bear Woman , Changing Woman , Chantico, Chaob, Charred Body , Chepi , Chibiabos , Chibirias, Chiccan, Chicomecoatl, Chicomexochtli, Chiconahui, Chiconahuiehecatl, Chie, Child-Born-in-Jug , Chirakan, Chulyen , Cihuacoatl, Cin-an-ev , Cinteotl, Cipactli, Cirap� , Cit Chac Coh, Cit-Bolon-Tum, Citlalatonac, Citlalicue, Ciucoatl, Ciuteoteo, Cizin, Cliff ogre , Coatlicue, Cochimetl, Cocijo, Colel Cab, Colop U Uichkin, Copil, Coyolxauhqui, Coyopa, Coyote , Cripple Boy , Cr
 
Uwepo wako wewe hapa Duniani pia ni Moja ya uthibitisho kama Mungu yupo otherwise usema ilikuwaje Hadi wewe Leo hii upo hapa Duniani
Uwepo wake unathibitishaje Mungu yupo?

Kupitia dini yako umeamua kutumia hoja ya "uwepo wangu" kama uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo, lakini hii kumbuka haiwezi kuwa universal

Haiwezi kuwa universal kwa maana leo hii nikikutana na Buddhist akasema uwepo wangu ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu, hawezi kuwa anamkusudia Mungu wako.

Kwa hiyo.

Hapo itakuwa ni swala la nani kamuwai mwenzake, ukiniwahi wewe kuja na swali lako. Basi itaonekana uwepo wangu unathibitisha Mungu wa dini yako.

Lakini akiwahi Muhindu, basi hapo Mungu wa kihindu ndio atayeonekana ni wa kweli, na wako hana nafasi.

Hapo ni kwa uchache, imagine nikakutana na watu wa dini zote katika nyakati tofauti. Wote watumie hoja hiyo.

Sasa

Muda wa kuchagua hoja ipi ni ya kweli au maelezo ya nani yamesema ukweli unafikiri hapo nitaangalia hoja ya kusema "uwepo wangu ni uthibitisho"?

Mpaka hapo, uwepo wangu utakuwa ni sababu ya mamilioni ya Miungu kuwepo. Je hoja hii itakuwa na afya mpaka hapo?

Au mkapewa meza ya mazungumzo kujadili kupitisha Mungu mmoja wa kweli unadhani maelezo ya kusema uwepo wako ndio uthibitisho yatakuwa na msingi wowote?

Au unadhani kwa hatua hiyo nukuu za vifungu vya kitabu chako zitajalisha katika kufanya Mungu wako aonekane wa kweli dhidi ya Mungu mwingine?

Au wewe utakuwa tayari kukubali kuwa Mungu wako ni wa uongo kwasababu aya za kitabu kutoka dini nyingine zimedai Mungu wa dini hiyo pekee ndio Mungu wa kweli?

Kama hauwezi kukubali madai ya watu wa dini nyingine kuhusu uhalali wa Mungu wao ambao unamdumaza Mungu wako, basi for the same reason sioni sababu ya wewe kunipa hizo hoja kunifanya nikubaliane na madai yako.

Sasa kipi kinachofanya hoja yako izingatiwe na kuifanya ionekane ya maana? wakati tumeona haiwezi kuwa na mashiko kwasababu haioneshi kutoa jibu moja la kweli?
 
Nakupa tena huu mfano, kuwe na paka yupo kimya kwenye imaginary box Y, You can't verify kma yupo je, inatosha kusrma kma hayupo?????
I have so many reasons to doubt your reasoning
Bac usiseme yupo mpaka tuprove yupo... Nikikuambia Nina Ferrari utataka ulione.. nikianza kukuambia hoo sio lazma ulione unajuaje Sina ..tulia ufe ulione.. utaanza kuniona chizi ..
Ndo unavyoonekana asa
 
Back
Top Bottom