min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hili la wanawake kuwa wengi kuliko wanaume unalithibitisha vipi?Mwanaume au dume lolote halikuumbiwa mwanamke au jike mmoja.. na ndiyo maana hata duniani wanawake ni wengi na sisi wanaume ni wachache na pia ulishawahikujiuliza wanaume tukasema tuwe na mwanamke mmoja mmoja hao wengine watadinywa na nani ili wakae sawa na je, hiyo dhambi sisi tutaenda kuisemea wapi?