Uzi maalum kwa watu ambao tuna IQ ndogo.

Uzi maalum kwa watu ambao tuna IQ ndogo.

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Kwa wale ambao tuna IQ ndogo huu uzi ni maalum kwa ajili yetu

Tujifunze namna ya kupambana na hali zetu.

Karibuni.
 
..... Huu uzi utakuwa na wadau wengi for sure
 
Mkuu,huyu dogo amepodoa kweli nimeshangaa kwa nini anawatusi washua wangu
Sio kupodoa ni kufodoa.
Kufodoa = kitendo cha kulazimisha uume govi uonekane umetahiriwa kwa kulivuta nyuma govi.
 
Iq Yako Ni Kilo Ngapi?
mashine ya iq.jpg
 
Back
Top Bottom