Uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari

Uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari

Naomba kufahamu gari ambayo inatozwa ushuru kiasi kidogo zaidi.
Nb. Iwe ya mwaka 2000- 2005 , isiyozisi cc 1500 inaweza kuwa ya kampuni yoyote.
 
Naomba kuona Ramani
WhatsApp 0652881000
Nijue jinsi yakukusaidia.
Nina shida Kama yako.. Ila Mimi nikwenye kujenga! Nina milioni 35 Ila QS amesema nahitaji milioni 70 kumaliza nyumba. Nahitaji kuamia haraka! Ukimpata mtu wakukusaidia niunganishe na mimi.
 
Kuna jamaa yangu anatamfuta mtu amuuzie ist,ameiagiza from japan imefika bandarini pesa ya kugombolea ni kama 6m,yeye ameiagiza kwa kama 5m!
Anatafuta mtu amrudishie hiyo 5m then yeye achukue hiyo ist mpya
Namba zake ni 0736770052
😁 Alifanya assumption 5m million kulitoa kama laki 3 hivi akaona kapiga bonge ya mingo afu akilitoa auze milion 10😁
 
Boss mim nahitaj gari aina ya jeep ila nina mil 13 na ni jeep ya mwaka wowote ila iwe ya kufunua, ushauri please
 
Hapana mzee, simaanishi benz tuu, bali namaanisha aina yeyote ya gari inayouzwa Singapore sio salama sana.
Nyingi hua zinakua ni mbovu, sana. Wanachokifanya hupaka rangi body vizuri, inakua ina shine

Ila mengine, sasa ni mtihani, na huwezi kuona ama kujua hadi gari ukishakabidhiwa ukaanza kuitumia.

Kwa kifupi hawana uaminifu kabisa. Ndio maana watu wananunua gari kutoka japan, singapore wanatumia sana gari zao na ikishamsumbua hua wanauza kama ilivyo na hawakwambii.

Hilo ndio tatizo kubwa sana kwenye gari za huko.

Unaweza kutenga muda ukapitia mtandaoni, utaona malalamiko.

So kuepuka hizo risky ni bora kuchukulia kutoka japan na sio huko.

Infact, hata japan kwenyewe kuna maeneo sio mazuri kuchukua gari ambayo ipo kwenye location hiyo.

But kwa Osaka, ni sawa kabisa.
Vip kuhusu Thailand ??? Kuna toyota fortune nimeona
 
Back
Top Bottom