Uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari

Uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari

Watalam wa Magari nataka kuagiza hiyo IST ya ulaya kama inavoonekana pichani (MERCEDES-BENZ B-CLASS B170 SPORTS PACKAGE) nijisikie na mimi naendesha gari hata kwa miaka mitatu.

Tatizo sina uzoefu wa haya magari kwenye Upataikanaji wa Spea na gharama zake hasa kwa service za kaiwa, Mafundi wapo na je wanashikika?? mwisho mwenye uzoefu na aina hii ya gari unavumilika.

toa uzoefu wako niuzingatie kabla sijawacheck Befoward.

benz.jpg

Asante
 
Watalam wa Magari nataka kuagiza hiyo IST ya ulaya kama inavoonekana pichani (MERCEDES-BENZ B-CLASS B170 SPORTS PACKAGE) nijisikie na mimi naendesha gari hata kwa miaka mitatu. Tatizo sina uzoefu wa haya magari kwenye Upataikanaji wa Spea na gharama zake hasa kwa service za kaiwa, Mafundi wapo na je wanashikika?? mwisho mwenye uzoefu na aina hii ya gari unavumilika.

toa uzoefu wako niuzingatie kabla sijawacheck Befoward.

View attachment 1786276

asante
Cha kwanza kabisa, ningekushauri ufanye uchunguzi dhidi ya uimara wa gari za singapore. Pichani hiyo "Ist ya ulaya" ni singapore ipo.

Ukishapata majibu ya wadau, kisha Mimi nitakusaidia kukupa mchanganuo wa gharama kama ilivyo lengo la uzi wangu.
 
Hata nilikuwa sijui issue ya Singapore . Umenipa kitu asante.
 
Please , ingekua vizuri kama utatupatia details kamili za gari tuweze kukupatia mchanganuo mzima.

Aina ya gari (Make & Model)
Mwaka
Ukubwa wa engine n.k
Make-Toyota
Model-Raizer
Mwaka-2020
Engine-1000cc
Umbali-1000km
Bei- 19000$

Embu nipe maelezo Kama nitatumia kampuni ya kuniletea gar mpaka nilipo
*Je kunaulazma wa Mimi kwenda kutoa gari bandarini au wataniletea nilipo(mkoani)
*Gharama za Kodi na vitu vingine ni bei gani Kwa kikokotoo cha tra
 
Kuhusiana na ulazima wa wewe pia kwenda bandarini. Inategemeana na ni kiasi gani unamuamini agent wako.
Make-Toyota
Model-Raizer
Mwaka-2020
Engine-1000cc
Umbali-1000km
Bei- 19000$

Embu nipe maelezo Kama nitatumia kampuni ya kuniletea gar mpaka nilipo
*Je kunaulazma wa Mimi kwenda kutoa gari bandarini au wataniletea nilipo(mkoani)
*Gharama za Kodi na vitu vingine ni bei gani Kwa kikokotoo cha tra

Ulazima wa wewe kwenda bandarini ama kusubiria uletewe mkoani mwako inategemeana na kiasi gni unamuamini agent wako.

Kuna wengine wanakwambia , lazma nilisubiri gari gate la bandari akilitoa tu anipe, maana hivi hivi ni changamoto kuna ambao atataka alinywe kwanza (kupiga nalo misele-kuzurula nalo) kwa warembo etc (sio wote wanatabia hiyo though)

Jumla kuu ya ushuru na gharama zote za bandari na agent wakukutolea gari lako
Zitakua TZS 20,431,000/=

So ni $19,000 = TZS 45,600,000/= + 20,431,000/=

Jumla 66,031,000/=

Bima watakutoza TZS 2,728,000/=

JUMLA KUU : 68,759,000/=

Hapo inakua barabarani kabisa sasa.
 
Kuna agent wa kuagiza magari ya ulaya bongo. Kama vile ilivyo kwa magari ya Japan, i.e., beforward, etc
 
Cha kwanza kabisa, ningekushauri ufanye uchunguzi dhidi ya uimara wa gari za singapore. Pichani hiyo "Ist ya ulaya" ni singapore ipo.

Ukishapata majibu ya wadau, kisha Mimi nitakusaidia kukupa mchanganuo wa gharama kama ilivyo lengo la uzi wangu.

Mkuu Prodogy, nimezunguka nimerudi na hiyo iko Osaka Japan, lakini nikajuliza uliposema ninngalie uimara wa magari ya Singapore, ulimaanisha aina hii ya gari imetengenezwa Singapore au gari yoyote iliyotumika Singapore inamashaka?? Japo nafahamu Benz ni Mjerumani lakini aina hii yaweza kuwa yatengenezwa Singapore.

baada ya ufafanuzi leta uchanganuzi CFI $2,963
Spare upatikanaji.

BK020926_595494.JPG
 
Hapana mzee, simaanishi benz tuu, bali namaanisha aina yeyote ya gari inayouzwa Singapore sio salama sana.
Nyingi hua zinakua ni mbovu, sana. Wanachokifanya hupaka rangi body vizuri, inakua ina shine

Ila mengine, sasa ni mtihani, na huwezi kuona ama kujua hadi gari ukishakabidhiwa ukaanza kuitumia.

Kwa kifupi hawana uaminifu kabisa. Ndio maana watu wananunua gari kutoka japan, singapore wanatumia sana gari zao na ikishamsumbua hua wanauza kama ilivyo na hawakwambii.

Hilo ndio tatizo kubwa sana kwenye gari za huko.

Unaweza kutenga muda ukapitia mtandaoni, utaona malalamiko.

So kuepuka hizo risky ni bora kuchukulia kutoka japan na sio huko.

Infact, hata japan kwenyewe kuna maeneo sio mazuri kuchukua gari ambayo ipo kwenye location hiyo.

But kwa Osaka, ni sawa kabisa.
 
$2,963 = TZS 7,111,200 (kuagiza)
TRA BANDARI N. K = TZS 7,280,000

Jumla : 14,391,200/=

Mpaka unakabidhiwa funguo
Bima ya barabarani haijajumuishwa.
 
Nahitaji Toyota ravar 4 ya mwaka 2003 yenye cc 1800 kutoka japaniitakuwa bei gn mpaka kukabidhiwa mkonono
 
Ninaweza kukupatia gharama yake, lakini sikushauri kabisa.

Kwasababu, hii gari uliyonitumia hapo pichani, engine yake ni ya mfumo wa D4
NI ENGINE nzuri, lakini tatizo linakuja kwenye mafundi weru, asilimia kubwa hawaiwezi. Hivyo kupelekea uharibifu ndani ya muda mchache.

Angalia yenye VVT-I
 
Back
Top Bottom