Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
- Thread starter
- #61
Naendelea kukaribisha maswali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendelea kukaribisha maswali
Cha kwanza kabisa, ningekushauri ufanye uchunguzi dhidi ya uimara wa gari za singapore. Pichani hiyo "Ist ya ulaya" ni singapore ipo.Watalam wa Magari nataka kuagiza hiyo IST ya ulaya kama inavoonekana pichani (MERCEDES-BENZ B-CLASS B170 SPORTS PACKAGE) nijisikie na mimi naendesha gari hata kwa miaka mitatu. Tatizo sina uzoefu wa haya magari kwenye Upataikanaji wa Spea na gharama zake hasa kwa service za kaiwa, Mafundi wapo na je wanashikika?? mwisho mwenye uzoefu na aina hii ya gari unavumilika.
toa uzoefu wako niuzingatie kabla sijawacheck Befoward.
View attachment 1786276
asante
Hata nilikuwa sijui issue ya Singapore . Umenipa kitu asante.Cha kwanza kabisa, ningekushauri ufanye uchunguzi dhidi ya uimara wa gari za singapore. Pichani hiyo "Ist ya ulaya" ni singapore ipo.
Ukishapata majibu ya wadau, kisha Mimi nitakusaidia kukupa mchanganuo wa gharama kama ilivyo lengo la uzi wangu.
Hello,
Make-ToyotaPlease , ingekua vizuri kama utatupatia details kamili za gari tuweze kukupatia mchanganuo mzima.
Aina ya gari (Make & Model)
Mwaka
Ukubwa wa engine n.k
Kuhusiana na ulazima wa wewe pia kwenda bandarini. Inategemeana na ni kiasi gani unamuamini agent wako.Make-Toyota
Model-Raizer
Mwaka-2020
Engine-1000cc
Umbali-1000km
Bei- 19000$
Embu nipe maelezo Kama nitatumia kampuni ya kuniletea gar mpaka nilipo
*Je kunaulazma wa Mimi kwenda kutoa gari bandarini au wataniletea nilipo(mkoani)
*Gharama za Kodi na vitu vingine ni bei gani Kwa kikokotoo cha tra
Make-Toyota
Model-Raizer
Mwaka-2020
Engine-1000cc
Umbali-1000km
Bei- 19000$
Embu nipe maelezo Kama nitatumia kampuni ya kuniletea gar mpaka nilipo
*Je kunaulazma wa Mimi kwenda kutoa gari bandarini au wataniletea nilipo(mkoani)
*Gharama za Kodi na vitu vingine ni bei gani Kwa kikokotoo cha tra
Cha kwanza kabisa, ningekushauri ufanye uchunguzi dhidi ya uimara wa gari za singapore. Pichani hiyo "Ist ya ulaya" ni singapore ipo.
Ukishapata majibu ya wadau, kisha Mimi nitakusaidia kukupa mchanganuo wa gharama kama ilivyo lengo la uzi wangu.
Mkuu Prodogy, nimezunguka nimerudi na hiyo iko Osaka Japan, lakini nikajuliza uliposema ninngalie uimara wa magari ya Singapore, ulimaanisha aina hii ya gari imetengenezwa Singapore au gari yoyote iliyotumika Singapore inamashaka?? Japo nafahamu Benz ni Mjerumani lakini aina hii yaweza kuwa yatengenezwa Singapore.
baada ya ufafanuzi leta uchanganuzi CFI $2,963
Spare upatikanaji.
![]()
Ninaweza kukupatia gharama yake, lakini sikushauri kabisa.