Ahsante. Karibu ikiwa unaswaliUzi mzuri huu
Naitaji sport bike nzuri kutoka JapanNaendelea kukaribisha maswali
Ila sidhani sana, kama hapa ni mahala sahihi sana kwa suala lako.
Nina shida Kama yako.. Ila Mimi nikwenye kujenga! Nina milioni 35 Ila QS amesema nahitaji milioni 70 kumaliza nyumba. Nahitaji kuamia haraka! Ukimpata mtu wakukusaidia niunganishe na mimi.
π Alifanya assumption 5m million kulitoa kama laki 3 hivi akaona kapiga bonge ya mingo afu akilitoa auze milion 10πKuna jamaa yangu anatamfuta mtu amuuzie ist,ameiagiza from japan imefika bandarini pesa ya kugombolea ni kama 6m,yeye ameiagiza kwa kama 5m!
Anatafuta mtu amrudishie hiyo 5m then yeye achukue hiyo ist mpya
Namba zake ni 0736770052
Alishapata humhumπ Alifanya assumption 5m million kulitoa kama laki 3 hivi akaona kapiga bonge ya mingo afu akilitoa auze milion 10π
Vip kuhusu Thailand ??? Kuna toyota fortune nimeonaHapana mzee, simaanishi benz tuu, bali namaanisha aina yeyote ya gari inayouzwa Singapore sio salama sana.
Nyingi hua zinakua ni mbovu, sana. Wanachokifanya hupaka rangi body vizuri, inakua ina shine
Ila mengine, sasa ni mtihani, na huwezi kuona ama kujua hadi gari ukishakabidhiwa ukaanza kuitumia.
Kwa kifupi hawana uaminifu kabisa. Ndio maana watu wananunua gari kutoka japan, singapore wanatumia sana gari zao na ikishamsumbua hua wanauza kama ilivyo na hawakwambii.
Hilo ndio tatizo kubwa sana kwenye gari za huko.
Unaweza kutenga muda ukapitia mtandaoni, utaona malalamiko.
So kuepuka hizo risky ni bora kuchukulia kutoka japan na sio huko.
Infact, hata japan kwenyewe kuna maeneo sio mazuri kuchukua gari ambayo ipo kwenye location hiyo.
But kwa Osaka, ni sawa kabisa.