Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Huu uzi ni mahsusi kwa..
Ajili ya wale wenye mapungufu ya nguvu" za kiume unaweza kua na upungufu wa nguvu za kiume ukawa hujapata suluhisho, hapa utashea
Uliponaje...? ulitumia dawa gani mpaka ukapona..? Hata kama huna tatizo la nguvu za kiume unaweza ku
Share hapa dawa yenye kusaidia kuponya tatizo hili linalosumbua watu japo ni nadra kusikia flani ana upungufu wa nguvu za kiume
Ila ukweli ni kwamba wenye tatizo hilio ni wengi na wanahitaji msaada je unafahamu dawa ya kuponya nguvu za kiume je...uliponaje?
SHARE; HAPA DAWA YEYOTE.. UNAYOIJUA KWA FAIDA, YA NDUGU ZETU WENYE TATIZO HILO
Ahsanteni: