Uzi maalum kwa wenye upungufu wa nguvu za kiume

Uzi maalum kwa wenye upungufu wa nguvu za kiume

Tafuta hela tu Mkuu, nguvu za kiume bila hela ni utahira huo
Kuna watu wana pesa lakini ikifika muda wa kitandani anateseka..
.pesa itamnasa mwanamke lakini lazima kuonyesha uanaume wako kitandani..
 
Chukuwa code hii..kwa wenye upungufu wa nguvu za kiume.
-mazoezi push ups .
-chukuwa kahawa(nescafe Gold)kijiko kimoja au viwili changanya na coca-cola glass moja,
Koroga mchanganyiko.
Kunywa nusu saa kabla ya pambano..
Utakuwa na kiwango kizuri sn mchezoni..
-chukuwa kitunguu maji katakata vipande vidogo vidogo ,weka limau nusu ,,kula hyo salad..
Baada ya week tatizo la nguvu za kiume kwisha..
Code zipo nyingi sn.
 
Coca cola tena? Mambo yaleyale ya masukari
 
Nguvu za kiume si tulikubaliana ni hela tu, hivyo tafuta hela Mkuu, au unataka tujadili mchongo ya kupata hela
Ukiwa na nguvu ya pesa waweza nunua dildo ukampa mpenzi na bado ukitwa baby kama kawa
 
Back
Top Bottom