Ungetoa ufafanuzi nguvu za kiume ni nini. Labda ni tatizo ambalo wengi wanalo au hawana bila kujua, kwa sababu ya kupewa taarifa zisizo rasmi.
Upungufu wa nguvu za kiume ni kitendo cha mwanaume kushindwa kusimamisha uume wakati wa tendo, au kushindwa kuendelea mzunguko wa pili baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza.
Kawaida mwanaume aliesimamisha uume anaweza kumwaga manii kuanzia dakika moja na kuendelea. Vilevile baada ya kumwaga kuna hali inaitwa refactory period.ambapo mwili utaitaji kukusanya nguvu ili kuendelea na round inayofuata.
Refactory period inatofautiana kwa mtu na mtu.wapo wanaohitaji muda mrefu na wengine muda mfupi tu lakini kwa kawaida haitakiwi kuzidi dakika 40 kwa kijana mwenye miaka chini ya 50.
Mwanaume anaesimamisha uume na anawahi kumwaga huyu hana tatizo isipokua haoni umuhimu wa kujichelewesha au hajui mbinu za kujichelewesha. Kuna mazoezi, vyakula, namna ya kucheza na saikolojia wakati wa tendo pamoja dawa zinawezesha kuchelewa kumwaga.
Ieleweke hapa mwanaume kumwaga mapema sio tatizo na akiamua kuchelewa kumwaga hapa anafanya favor tu kumfurahisha na mwanamke. Wanawake mwili wao ni complex zaidi kwahiyo wanatofautiana katika kufika climax ya sex.
Jamii imekua ikipewa taarifa ambazo sio sahihi kwa lengo la watu kufanya biashara.