Kuna watu wana pesa lakini ikifika muda wa kitandani anateseka..Tafuta hela tu Mkuu, nguvu za kiume bila hela ni utahira huo
Coca cola tena? Mambo yaleyale ya masukariChukuwa code hii..kwa wenye upungufu wa nguvu za kiume.
-mazoezi push ups .
-chukuwa kahawa(nescafe Gold)kijiko kimoja au viwili changanya na coca-cola glass moja,
Koroga mchanganyiko.
Kunywa nusu saa kabla ya pambano..
Utakuwa na kiwango kizuri sn mchezoni..
-chukuwa kitunguu maji katakata vipande vidogo vidogo ,weka limau nusu ,,kula hyo salad..
Baada ya week tatizo la nguvu za kiume kwisha..
Code zipo nyingi sn.
Mkuu unapewa code fanyia kazi..Coca cola tena? Mambo yaleyale ya masukari
Ukiwa na nguvu ya pesa waweza nunua dildo ukampa mpenzi na bado ukitwa baby kama kawaNguvu za kiume si tulikubaliana ni hela tu, hivyo tafuta hela Mkuu, au unataka tujadili mchongo ya kupata hela