Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Mim marudio ambayo hayaniting ni yale ya WANANCHI VS CR BELOUZDAD chuma 4 kwa mkapa
haha dah! unayapataje mkuu au huwa unasubiri mpaka siku hio AZAM wayarushe
 
Ngoja niendelee kuangalia marudio ya inter milan
 
Mimi hobby yangu ni kula chakula cha usiku, haswa siku ambayo kuna kaubaridi na mvua mvua🤩🤩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…