UZI MAALUM: Simba SC na Yanga SC; Utani , kumbukumbu na uhalisia wao!

UZI MAALUM: Simba SC na Yanga SC; Utani , kumbukumbu na uhalisia wao!

Screenshot_20171028-110511.jpg
 
Watani wetu Yanga wahuni sana. Haiwezekani mtu na akili zake avae nguo kama rangi ya mahindi mabichi! Lazima wana "porobulemu" some places! Ni wa kupuuzwa.
 
Kuna jamaa wanaitwa "makomandoo" wa hiz timu, hivi huwa wana kazi gani? Wakati mwingine hadi wanapigana..leteni uzoefu
 
Leo dada anaolewa tumetoka kutoa Mali....
 
Back
Top Bottom