hivi ni kweli?HIVI NI KWELI WATU HUANZISHA NYUZI MAALAMU KWA AJILI YA KUPATA UJIKO NA UFAHARI?
HIVI NI KWELI MAANA HALISI YA "UZI MAALUM" IMEPOTEZA MVUTO KIASI KWAMBA KILA MTU ANAKUJA NA WAZO LAKE LA UZI HATA KAMA HAKUKUWA NA ULAZIMA KUUFANYA HUO UZI KUWA MAALUM?
Hivi ni kweli umeiga huu uzi kama wale wengine??kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.
basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat
uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri jibu lako kama lipo
1. hivi ni kweli mtu anaeweka mikono mfukoni wakati anatembea ni mstaarabu??
2. hivi ni kweli ukimfata mwanamke kwa pupa kwa nia ya kumtongoza na akishajua nia yako atakusumbua??
3. hivi ni kweli umaarufu aliyonao Ali Kiba hapa Afrika kwa miaka hii ya karibuni umechangiwa kwa uwepo Diamond??
Hahaha sawa mkuusijaiga kokota
kuhusu pumba ndio mwenyewe hasa
Hivi ni kweli hujaelewa?Misjaelewa kwakweli....
Ebu ngoja nisubiri walio elewa wachangie kwanza, pengine nitaelewa polepole
Hii mida ndio nimemaliza kufanya maombi mkuu.....Hivi ni kweli hujaelewa?