Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.
basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat
uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri jibu lako kama lipo
1. hivi ni kweli mtu anaeweka mikono mfukoni wakati anatembea ni mstaarabu??
2. hivi ni kweli ukimfata mwanamke kwa pupa kwa nia ya kumtongoza na akishajua nia yako atakusumbua??
3. hivi ni kweli umaarufu aliyonao Ali Kiba hapa Afrika kwa miaka hii ya karibuni umechangiwa kwa uwepo Diamond??