Uzi maalum wa "hivi ni kweli"

Uzi maalum wa "hivi ni kweli"

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.

basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat

uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri jibu lako kama lipo

1. hivi ni kweli mtu anaeweka mikono mfukoni wakati anatembea ni mstaarabu??

2. hivi ni kweli ukimfata mwanamke kwa pupa kwa nia ya kumtongoza na akishajua nia yako atakusumbua??

3. hivi ni kweli umaarufu aliyonao Ali Kiba hapa Afrika kwa miaka hii ya karibuni umechangiwa kwa uwepo Diamond??
 
Hivi ni kweli na wewe umeanzisha uzi wa hivi ni kweli...!?
 
HIVI NI KWELI WATU HUANZISHA NYUZI MAALAMU KWA AJILI YA KUPATA UJIKO NA UFAHARI?
HIVI NI KWELI MAANA HALISI YA "UZI MAALUM" IMEPOTEZA MVUTO KIASI KWAMBA KILA MTU ANAKUJA NA WAZO LAKE LA UZI HATA KAMA HAKUKUWA NA ULAZIMA KUUFANYA HUO UZI KUWA MAALUM?
HIVI NI KWELI MAWAZO YAKINIFU YANAKOSEKANA YA KUUPA UZI UHAI NA MVUTO HADI UWEKE NA UTAMBULISHO "Uzi Maalumu"??
 
Hivi ni kweli kutifua mbolea ndo habari ya mjini
 
HIVI NI KWELI WATU HUANZISHA NYUZI MAALAMU KWA AJILI YA KUPATA UJIKO NA UFAHARI?
HIVI NI KWELI MAANA HALISI YA "UZI MAALUM" IMEPOTEZA MVUTO KIASI KWAMBA KILA MTU ANAKUJA NA WAZO LAKE LA UZI HATA KAMA HAKUKUWA NA ULAZIMA KUUFANYA HUO UZI KUWA MAALUM?
hivi ni kweli?
 
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.

basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat

uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri jibu lako kama lipo

1. hivi ni kweli mtu anaeweka mikono mfukoni wakati anatembea ni mstaarabu??

2. hivi ni kweli ukimfata mwanamke kwa pupa kwa nia ya kumtongoza na akishajua nia yako atakusumbua??

3. hivi ni kweli umaarufu aliyonao Ali Kiba hapa Afrika kwa miaka hii ya karibuni umechangiwa kwa uwepo Diamond??
Hivi ni kweli umeiga huu uzi kama wale wengine??

Halafu hivi ni kweli wewe ni mpost pumba really??
 
Misjaelewa kwakweli....
Ebu ngoja nisubiri walio elewa wachangie kwanza, pengine nitaelewa polepole
 
Hivi ni kweli jf kila mtu yuko dar?

hivi ni kweli jf kila mtu mambo safi?

Hivi ni kweli mademuz wajf ni wabaya mno ila wanaringa sana?
 
Hivi ni kweli watanzania tutagaiwa Noah
 
Back
Top Bottom