Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement.

Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk.

Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo, ielezee kwa uzuri tu.
 
Kwa mahitaji ya matunda fresh mchanganyiko (salad) na juice fresh tamu sana za matunda karibu sana. Tunapatikana Mikwambe chekechea hapa. Matunda yetu yanaandaliwa katika hali ya usafi na umakini wa hali ya juu na tunafanya delivery sehemu zote..karibuni sana. Tafadhali tembelea Private messaging yangu kwa mawasiliano.
 
Mikwambe iko wapi?
 

Attachments

  • IMG_20221215_093231.jpg
    750.3 KB · Views: 25
  • IMG_20221215_093217.jpg
    911.7 KB · Views: 43
  • IMG_20221222_091635.jpg
    1.6 MB · Views: 34
  • IMG_20221223_133836.jpg
    1.2 MB · Views: 34
  • IMG_20230118_091759.jpg
    1 MB · Views: 31
  • IMG_20221026_090749.jpg
    2.7 MB · Views: 21
  • IMG_20221026_091820.jpg
    1.1 MB · Views: 23
  • IMG_20220712_085609.jpg
    1.3 MB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…