Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement.

Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk.

Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo, ielezee kwa uzuri tu.
 
Kwa mahitaji ya matunda fresh mchanganyiko (salad) na juice fresh tamu sana za matunda karibu sana. Tunapatikana Mikwambe chekechea hapa. Matunda yetu yanaandaliwa katika hali ya usafi na umakini wa hali ya juu na tunafanya delivery sehemu zote..karibuni sana. Tafadhali tembelea Private messaging yangu kwa mawasiliano.
 
IMG-20230210-WA0026.jpg

Kwa mahitaji ya mabegi mbalimbali piga simu +255 712 177 287
 
Kwa mahitaji ya matunda fresh mchanganyiko (salad) na juice fresh tamu sana za matunda karibu sana..tunapatikana Mikwambe chekechea hapa..matunda yetu yanaandaliwa katika hali ya usafi na umakini wa hali ya juu na tunafanya delivery sehemu zote..karibuni sana
..tafadhali tembelea Private messaging yangu kwa mawasiliano
Mikwambe iko wapi?
 

Attachments

  • IMG_20221215_093231.jpg
    IMG_20221215_093231.jpg
    750.3 KB · Views: 25
  • IMG_20221215_093217.jpg
    IMG_20221215_093217.jpg
    911.7 KB · Views: 43
  • IMG_20221222_091635.jpg
    IMG_20221222_091635.jpg
    1.6 MB · Views: 34
  • IMG_20221223_133836.jpg
    IMG_20221223_133836.jpg
    1.2 MB · Views: 34
  • IMG_20230118_091759.jpg
    IMG_20230118_091759.jpg
    1 MB · Views: 31
  • IMG_20221026_090749.jpg
    IMG_20221026_090749.jpg
    2.7 MB · Views: 21
  • IMG_20221026_091820.jpg
    IMG_20221026_091820.jpg
    1.1 MB · Views: 23
  • IMG_20220712_085609.jpg
    IMG_20220712_085609.jpg
    1.3 MB · Views: 25
Back
Top Bottom