Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii.

Kwanza hii ni dedication kwa members wote wakike humu haijalishi mzee au kijana ama mweupe au black beauty.. ilimradi we ni wakike basi my first dedication kwa watoto wakike wa humu wote zawadi yeni hii hapa

https://www.jamiiforums.com/data/at...57_nimekuchagua_wewe_bob_rudala_mp3_56738.mp3

Kwa sisi wazee wakazi midume Tunaenda mwendo huu..
2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
Msilalamike zakitambo ndo dedication hiyo..😜

Kwako Kasie

The Kilimanjaro Band _ TUPENDANE.mp3
Tulizana..😉

Kwako Lenie mahabuba..

Mr Blue - Tabasamu (hearthis.at).mp3

Kwako Mshana Jr
1925222_HAKUNA_MUNGU_KAMA_WEWE.mp3 si ulisema umeokoka haya sasa ndo dedication yangu kwako hiyo!😂

Kwako yuzazifu
Kool & the Gang - Let's Go Dancing.mp3

List bado inaendelea kwa wingi tu.. karibuni kwa dedication.
 
Attachments

Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here.
Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii.

Kwanza hii ni dedication kwa members wote wakike humu haijalishi mzee au kijana ama mweupe au black beauty.. ilimradi we ni wakike basi my first dedication kwa watoto wakike wa humu wote zawadi yeni hii hapa
https://www.jamiiforums.com/data/at...57_nimekuchagua_wewe_bob_rudala_mp3_56738.mp3

Kwa sisi wazee wakazi midume Tunaenda mwendo huu..
2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
Msilalamike zakitambo ndo dedication hiyo..😜

Kwako Kasie

The Kilimanjaro Band _ TUPENDANE.mp3
Tulizana..😉

Kwako Lenie mahabuba..

Mr Blue - Tabasamu (hearthis.at).mp3

Kwako Mshana Jr
1925222_HAKUNA_MUNGU_KAMA_WEWE.mp3 si ulisema umeokoka haya sasa ndo dedication yangu kwako hiyo!😂

Kwako yuzazifu
Kool & the Gang - Let's Go Dancing.mp3

List bado inaendelea kwa wingi tu.. karibuni kwa dedication.
Thank you KENZY
Naomba nyimbo ya Rostam - Kaka tuchati ikufikie popote ulipo usiku huu
 
skanking sweet (chronixX)- kwa memba woote ambao ni ma burnerboyz.

talking blues(Bob Marley)-
kwa memba woote wanaopitia matatizo mbali mbali kipindi hiki, wanaohaso(hustle) kutoboa.

war(Bob Marley)-kwa memba wanaonyukana na nzi wa kijani jukwaa la siasa Sky Eclat special kwako hii.
 
The cure-Jordin Sparks..

Kwa yeyote utaemhusu
Dada kwa heshima yako nikiwa sina kukurukakara leo mdogo wako nimetulia nakudediketia huu wimbo.. Leo akili haijachafuka..😅
 
Back
Top Bottom