Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

mkuu KENZY umenidedicate miongoni mwa nyimbo zangu pendwa, nami nawadediketi na mpenzio Lenie nyimbo 2 toka kwa celine deon ambazo ni love doesn't ask why & the power of love, natumai zitaibariki kopo yenu.
 
Dah hapa tutalogana bure...

Hili lijimbo ntaachane kukatikiwa uno na Kasie Matata?

Hapana, nisamehe tu ndugu yangu... lile uno nalijua mwenyewe

Babuuu unawajaza mwenyewee ujue...

Halafu mie wakinshawishi na manissan yao mi ntashindwa kukataa sasa...
Thi unajua mie nikiona Nissan tuu naenda wizout...🤪🤪🤪😆😆😆😆
 
Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii.

Kwanza hii ni dedication kwa members wote wakike humu haijalishi mzee au kijana ama mweupe au black beauty.. ilimradi we ni wakike basi my first dedication kwa watoto wakike wa humu wote zawadi yeni hii hapa

https://www.jamiiforums.com/data/at...57_nimekuchagua_wewe_bob_rudala_mp3_56738.mp3

Kwa sisi wazee wakazi midume Tunaenda mwendo huu..
2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
Msilalamike zakitambo ndo dedication hiyo..[emoji12]

Kwako Kasie

The Kilimanjaro Band _ TUPENDANE.mp3
Tulizana..[emoji6]

Kwako Lenie mahabuba..

Mr Blue - Tabasamu (hearthis.at).mp3

Kwako Mshana Jr
1925222_HAKUNA_MUNGU_KAMA_WEWE.mp3 si ulisema umeokoka haya sasa ndo dedication yangu kwako hiyo![emoji23]

Kwako yuzazifu
Kool & the Gang - Let's Go Dancing.mp3

List bado inaendelea kwa wingi tu.. karibuni kwa dedication.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji818][emoji818][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1536][emoji1536][emoji1536]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji818][emoji818][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1536][emoji1536][emoji1536]
Siamini Kama unaweza okoka labda umekuwa ukoka..😜
 
Back
Top Bottom