Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

Lenie fanya majukumu yako dada me sio artist πŸ˜…πŸ˜…
Umealikwa wewe nawe unaalika ambao wameshaalikwa!!

Unanitafutia balaa we mwanamke..

Lenie mama usiweweseke nakupenda huyu ni mtani tu wala usibabaike.. mengine tutazungumza chumbani nikuimbie na ile nachi uipendayo.. love Lenie 😍
 
Babuuu unawajaza mwenyewee ujue...

Halafu mie wakinshawishi na manissan yao mi ntashindwa kukataa sasa...
Thi unajua mie nikiona Nissan tuu naenda wizout...πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tena hilo limapengo litupie mbali huko sijui kwanini unahangaika na mizee wakati hendisamu tupo..😜
 
Hunywii maji yakapita
Me nikiguna ushafika
Jina gani hujaniita baby
Ushauri hutaki kabisa
Eti uniache me nna visa
Vya Firauni na Musa vingiii

🎢🎡🎼 KENZY Lenie kakuimbia πŸ‘†
 
Hunywii maji yakapita
Me nikiguna ushafika
Jina gani hujaniita baby
Ushauri hutaki kabisa
Eti uniache me nna visa
Vya Firauni na Musa vingiii

🎢🎡🎼 KENZY Lenie kakuimbia πŸ‘†
Lenie mama unasemaje hapa.. vipi si anafaa kuwa mke mwenzako tena mko pea..😜
 
Na haka ka'tone jamani, akinogewa utamlaumu nani πŸ˜…πŸ˜…
Ohoo basi wacha nitamuimbia mwenyewe, mambo ya kuwa single kwa kujitakia staki kabisa.
Mpotezee tu alikua anatania, yaan huyu anapendaga sana utani πŸ˜‚
 
Hunywii maji yakapita
Me nikiguna ushafika
Jina gani hujaniita baby
Ushauri hutaki kabisa
Eti uniache me nna visa
Vya Firauni na Musa vingiii

🎢🎡🎼 KENZY Lenie kakuimbia πŸ‘†
Nimependa zaidi hyo statement ya mwisho😍, KENZY umeona nimekuimbia eeh
 
Fanya kutekeleza na sio kulalamika.. mapenzi Ni Kama mteremko teremka nami mama.. πŸ˜‰
Hapo kwenye mteremko sasa, nisije pitiliza nikaserereka nikaishia kuvunja kiuno bure
 
Hapo kwenye mteremko sasa, nisije pitiliza nikaserereka nikaishia kuvunja kiuno bure
Ntakudaka Tena kiuno kabisa utamu kunoga ulipo.. siwezi kukuacha weye..😜
 
Back
Top Bottom