muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
walengwa ukimaamisha pa kuvunia hizo alama,may be.alietegemea kua tutachukua points kwa vita kwake basi sio mfuatiliaji sana wa soka la Africa. So kipigo cha jana wala hakijatutoa kwenye lengo, ingawa ingekua vyema tungefungwa kwa tofauti ya goli chache. al ahly na vita ni timu kubwa kwenye soka la Afrika, ila ugenini hawawezi kua na mentality sawa na nyumbani (rejea mchezo wa al ahly na saoura juzi, walinusurika kipigo). So mpango wa awali wa kuchkua points 9 taifa bado uko pale pale. Kwa kujua ugumu wa michezo ya ugenini tulishapanga tangu mwanzo kupambana kutafuta matokeo (win au hata draw) kwenye mechi moja tuu, kati ya 3 za ugenini, na hapa walengwa sana ni saoura. Points 9 taifa, ukijumlisha na 1 au 3 za kwa saoura tunakua na points za kutosha kutuvusha
the Legend☆
Sent using Jamii Forums mobile app