Uzi maalum wa kuishauri Simba katika mechi na Al Ahly zinazokuja mfululizo

Uzi maalum wa kuishauri Simba katika mechi na Al Ahly zinazokuja mfululizo

alietegemea kua tutachukua points kwa vita kwake basi sio mfuatiliaji sana wa soka la Africa. So kipigo cha jana wala hakijatutoa kwenye lengo, ingawa ingekua vyema tungefungwa kwa tofauti ya goli chache. al ahly na vita ni timu kubwa kwenye soka la Afrika, ila ugenini hawawezi kua na mentality sawa na nyumbani (rejea mchezo wa al ahly na saoura juzi, walinusurika kipigo). So mpango wa awali wa kuchkua points 9 taifa bado uko pale pale. Kwa kujua ugumu wa michezo ya ugenini tulishapanga tangu mwanzo kupambana kutafuta matokeo (win au hata draw) kwenye mechi moja tuu, kati ya 3 za ugenini, na hapa walengwa sana ni saoura. Points 9 taifa, ukijumlisha na 1 au 3 za kwa saoura tunakua na points za kutosha kutuvusha

the Legend☆
walengwa ukimaamisha pa kuvunia hizo alama,may be.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi ni mzalendo sana kwa nchi yangu kwa mambo mengi, lakini kwa hili la Simba hapana....Simba ya miaka miwili au mitatu hivi imegeuza suala la ushindani wa soka nchini kuwa ni la udhalilishaji kwa timu nyingine...Viongozi wao baadhi yao ni waropokaji, wana kebehi kubwa, wana majivuno, wana kiburi na wamegeuza soka yetu kuwa ya uadui...Yanga ilipopata matatizo yanayoendelea baada ya mwenyekiti wao kupatwa na matatizo na serikali...mmoja wa viongozi wa simba kwa kebehi kubwa alianza kuidhalilisha Yanga na mwenyekiti wao mitandaoni...Kwa mashabiki kusemeana hovyo ni jambo la kawaida duniani kote...lakini kwa viongozi hapana ni lazima wawe na diplomasia na lugha ya staa kwa timu pinzani...lakini kwa viongozi wa Simba baadhi yao wanaona sawa tu kusema maneno ya ovyo na hata kufurahia matatizo yanayowapata baadhi ya viongozi wa timu pinzani...

Kwa hiyo kwangu mimi sitaki unafiki, Simba afungwe tu huko aendako na ikibidi afungwe nyingi ili kuondoa na kumaliza kebehi zao...hamna namna...nadhani Simba ikifungwa tena kwa mabao mengi viongozi wake watarudi kwenye msitari wa heshima...
Chuki binafsi... Simba tunasonga mbele hatuna shida na sapoti yako
 
Hata Mimi nakuunga mkono japo Waarabu wanacheza kasi sana , simba wanapaswa kuwashambulia waarabu mfululizo ilikudistabilize mipango yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawachongea wenzako,simba washambulie mfululizo huku beki wawa na juuko maboko faulo, watapigwa nyingi tena, ujanja wakacheze defensive game tena more deep
 
As Vita na Al ahly wote wana uhakika wa zaidi ya 90% kuchukua point 9 za nyumbani kila mmoja wao, simba na Soura hawana uhakika huo , kundi limejigawa in between, mengine ni majaaliwa
 
Simba kwa Al ahly hawachomoki. Ule mpira waliocheza na VITA ulionyesha wazi Simba si tishio kwenye kundi hilo.
 
Kikosi cha Simba angekuwa nacho Yanga angefanya maajabu makubwa sana. Simba iache kujiamini kupita kiasi, iache dharau nawahakikishia watafika mbali.
 
Back
Top Bottom