Sina Million 30
JF-Expert Member
- Jan 17, 2025
- 243
- 156
- Thread starter
- #61
KIHEHE: Kamwene = Habari za asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tunakaribia kujenga Angani yakuongea ni mengi 👓👓👓👓👓👓👓👓Kitumbi: Yakindaaae - Habari za asubuhi
Wengine tunakaribia kujenga Angani yakuongea ni mengi 👓👓👓👓👓👓👓👓POSUTA - KIFIPA
Wengine tunakaribia kujenga Angani yakuongea ni mengi 👓👓👓👓👓👓👓👓Walisema Usije kama hujui jinsia YAKO
Kihaya: Mwalailota
21.Tanga kila bint anajua mapishiMaajabu Ya Kabila Lako yanakaribia Haya ni Maajabu ya Mkoa wa Tanga 😂😂😂😂
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11- Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.
Ongeza nyingine ✍️
Mkuu Iqyanaah21.Tanga kila bint anajua mapishi
22. Tanga wanaume hawajui kutunza wake.
Sikio la kufa ukisikiliza sana inapotea hivyooo21.Tanga kila bint anajua mapishi
22. Tanga wanaume hawajui kutunza wake.
AangaaMkuu Iqyanaah