Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Ni nani Mrs Air....!?hivo hivo melo on air ....
ahaaa umerogwa wewe nenda kibiti wakakutibu,,,,....Ni nani Mrs Air....!?
Umebadili tena ID...!
Nikumbushe kesho mapema, kwa sasa Barabara imeshafungwa...!!ahaaa umerogwa wewe nenda kibiti wakakutibu,,,,....
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nikumbushe kesho mapema, kwa sasa Barabara imeshafungwa...!!
Mwite mshana aje aelezee hii picha
Wachochezi kma wanavyoitwa wataupitia mbali huu Uzi kwa wasio na tatizo burudani no tiss wala nn[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Kuweni makini na nyuzi za kiintelijensia!
J. D Keko Magurumbasi(Fenicha), married, accounting finance. Not employed.Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
Kamatia msambwandaaaaa x2 😛😛Jina: nyanda dindai
Kazi : sina
Mahali : hapa
Ujumbe : K ni K
Umetishajina; joni
naishi; magogoni
kazi; mtumbuzi
ujumbe; ***** zenu na bado mtanyoka