Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina: Trevor
Jinsia: Me
Kazi: Muuza magazeti
Makazi: Tanzania-Manyara
Mahusiano: Married with one Kid
CHIKIRA MTABARI unaitwa pm jamaa anafunguka kisiri siri..Jina:Mfungo Nyamsusa Mabunde
Jinsia: Me
Makazi:Mbeya, Mwakibete
Kazi: Kishandu (Mporaji wa simu kwa pikipiki)
Mahusiano: Nina wapenzi sita
Ujumbe: CHIKIRA MTABARI nakuwaza kila saa
Jr mkubwaNapenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Chato hapa ni nyumbani kwa malaika asiyependa kukosolewa
Mbangaizaji
Still looking
Ujumbe: janga kubwa limeingia nchini hofu ya Watanzania walio wengi kila kona
Siku akinipa tunda mkuu kipato ninachoingiza kwa siku chote nakupa wewe.CHIKIRA MTABARI unaitwa pm jamaa anafunguka kisiri siri..
hahahahaahahahahh Castr na Mondray ry karibuni sana Mwanza mle samaki na mazaga mazaga kibaoCHIKIRA MTABARI unaitwa pm jamaa anafunguka kisiri siri..
Jirani mkuuu bunju B sehemu gan??? Niko huku juu karibu na tuwa pende watotoNapenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
Mimi nipo ndani ndani huku kribu na mawenJirani mkuuu bunju B sehemu gan??? Niko huku juu karibu na tuwa pende watoto
Znz kuna baa za uchochoron au hadi kwenye mahoteli ya kitalii?Come on Castr Mrembo kashatupa mwaliko twenzetu basi tukachukue Mayo.
Karibu zanz bibie nawakaribisha tukwee minazi..