Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Ndo Nini maana yake mbona sasa kama kuchunguzana
 
Jina Jacob
Kabila mnyakyusa
Kazi Dereva
Kuishi tabata,segerea, Boko, bunju Mbagala now

Magufuli sio malaika akikosea akosolewe
 
Jina: Mzee MKavu

Naishi:Magogoni
Kazi: Mechanical Engineer
Mahusiano:Bado naangalia hapa na pale sijatosheka kiukweli
 
Jina: Shetan
Makazi: Motoni
Kazi: Kuhakikisha napata wafuasi wangu huku kuzimu
Ujumbe; Tenda dhambi, Hakuna Mungu
 
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free[/QUOTE Mkuu utakuwa mheshimiwa mwanasiasa
 
Back
Top Bottom