Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy chachaaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kuweni makini na nyuzi za kiintelijensia!
Sijawahi ona maana mm sio mtu wa kujichanganya na watu.Znz kuna baa za uchochoron au hadi kwenye mahoteli ya kitalii?
Nikija utakuwa unanipeleka Darajani nyakati za usiku nikale ugali maharageSijawahi ona maana mm sio mtu wa kujichanganya na watu.
Karibu maskani hapa tunywe supu ya ngisi..
Aaaah Darajani au Forodhani? Darajani ni sokoni, uje na Castr twende Forodhan kisha tuingie Stone town kutalii..Nikija utakuwa unanipeleka Darajani nyakati za usiku nikale ugali maharage
Kama kweli vile!jina; joni
naishi; magogoni
kazi; mtumbuzi
ujumbe; ***** zenu na bado mtanyoka
Ujumbe: drink beer save water!Naitwa : Beer
Napatikana : Bar
Jijini : Breweries
Forodhani si urojo! mie si upendi. Kama nikija na Castr utupeleke wa RAJUAaaah Darajani au Forodhani? Darajani ni sokoni, uje na Castr twende Forodhan kisha tuingie Stone town kutalii..
Asanta......[emoji481] [emoji481] [emoji481]Ujumbe: drink beer save water!
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free[/QUOTE Mkuu utakuwa mheshimiwa mwanasiasa