Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Uzi huu umetokea geti jeusi nini? Anyway me Geechie sina jingine Wa Dar
 
Jina: nyanda dindai
Kazi : sina
Mahali : hapa
Ujumbe : K ni K
 
Jina: Ng'AmBu nGwaMbalA
Makazi: Mpigamiti-liwale
Kazi:Mwindaji
Ujumbe: Dont stop until u get enough ( nimeandikiwa)
 
d02de4d4bdfad2dcf44e51977992cf08.gif
Mwite mshana aje aelezee hii picha
 
Wahenga walisema akili ni [HASHTAG]#nywele[/HASHTAG]..... na hawakusema nywele za wapi.
Sasa kama walimaanisha za [HASHTAG]#Kwapani[/HASHTAG] na uku chini alafu nyie kila siku zikistawi [HASHTAG]#mnazinyoa[/HASHTAG] shaulizenu.
mshana jr na Joseverest mtoa post hatutakii mema
 
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
J. D Keko Magurumbasi(Fenicha), married, accounting finance. Not employed.
 
Jina: Kenobi Kinyatsu
Kazi: Mwanafunzi
Makazi: Kigoma
Kuzaliwa: Mbeya
Ndoa: Sijaoa
Ujumbe: Elimu haina mwisho
 
Jina:Mfungo Nyamsusa Mabunde

Jinsia: Me

Makazi:Mbeya, Mwakibete

Kazi: Kishandu (Mporaji wa simu kwa pikipiki)

Mahusiano: Nina wapenzi sita

Ujumbe: CHIKIRA MTABARI nakuwaza kila saa
 
Jina : Compact
Kazi : DSTV
Makazi : Kwenye Satellite
Ujumbe : Feel Every Moment.
 
Jina: Ngwizukulu Jilala
Makazi: Nyakavangara tarafa ya isimani
Mahusiano: Napenda mabaamedi
Ujumbe: Hata bibi nae alikua binti
 
Back
Top Bottom