Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Hatimaye Almasi imegeuka maji..
Ngoja niikopi kisha niitupie makapuku waione..
Jina: Trevor

Jinsia: Me

Kazi: Muuza magazeti

Makazi: Tanzania-Manyara

Mahusiano: Married with one Kid
 
Name.Ray Vanny
Sex. Me
Residence. Zanzibar Fuoni
Born Town. Masanga Kigoma
Ujumbe. Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatar mpenz ukimwacha na Hamu..
 
Jr mkubwa
Msata moja karibu na makaburi
Kazi uganga (sio ulozi) na mhudumu wa chumba cha waliolala kabisa
Marital status (....)
Ujumbe: kiza kina macho na masikio
Karibuni sana
 
Names: Ulosale nyamolya ikebono.

Sex : ME

Residence: komatolo ghao.

Ujumbe: ukitaka kuwa Mkuu wa mkoa ujue kusoma na kuandika tu!
 
Chato hapa ni nyumbani kwa malaika asiyependa kukosolewa
Mbangaizaji
Still looking
Ujumbe: janga kubwa limeingia nchini hofu ya Watanzania walio wengi kila kona
 
Chato hapa ni nyumbani kwa malaika asiyependa kukosolewa
Mbangaizaji
Still looking
Ujumbe: janga kubwa limeingia nchini hofu ya Watanzania walio wengi kila kona
[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Reactions: BAK
Jina : SOMJI JUMA MALEKANI
Jinsia :MALE
Kazi : MFANYABIASHARA/MWANAFUNZI
MAHUSIANO : MARRIED NA MTOTO
Makazi : KABWE(MBEYA)
: BUGURUNI (DSM)
UJUMBE : MWANZILISHI WA JF ATAMBULIWE KAMA SHUJAA WA TAIFA
 
Adam : Beijing China : Single : ujumbe - https://jamii.app/JFUserGuide love / +8615804059541 whatsapp
 
Jin:Ip man 3
Makaz:Mbeya Ilomba
Kaz:Viettel Mbeya Branch
Ujumbe:Aman Upendo vitu muhim kwetu
 
Jirani mkuuu bunju B sehemu gan??? Niko huku juu karibu na tuwa pende watoto
 
Jina : clayton
Kazi : accountant
Sijaoa na wala sina mpango
Ujumbe : siku zote fanya unachopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…