Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Jina:wakazi. Mtaa: mabatini mwanza kazi:fataki mzuri tu ushauri: kama unabinti yako mlete ntagharamia tution mpaka basi. Etc: mimba ajari kazini
 
Aisee kumbe wewe wajina ila mimi nakaa huku sumbwili karibu na manarogati
 
Kutafutana na kina bashite kupo nje nje hapa. Ngoja niende kwenye uzi mwingine.
 
jf itasimama milele leo jana na kesho kutwa hizi hizi id zetu zinatosha hayo mengine remain constant....
Hahahahahahaha umenifurahisha kweli et remain constant..... Embu kula like ya chuma kwanza
 
Jina; Issa

Mahali; rufiji

Kazi; silencer

Ujumbe; Fanya kilichokuleta dunian mengine mbwembwe
 
Jina : Ariana
mahali : kimara Rombo
Kazi : Natafuta

Ujumbe ; Having respect & staying humble, will take you places money Can't.
 
Jina : shida matumbo
Makazi:namtumbo
Kazi:muuza utumbo
 
hahahah
jin:mwanahawa
eneo;mbagala charambe magengeni..dar es salaam
kazi:mfanyabiashara
ujumbe;MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI..NDIPO MEMA YATAPOANZA KUKUJIA.(AYUBU22;21)
Mmmmh sasaa mbona umeruka kipengele Fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…