EAST COAST... Moja ya kundi nililokuwa nalikubali enzi hizo
Hivyo viatu vilikuwa vinatwa Ali chokiMsaada please mkuu!
"Choki" ni nini?
Huwezi kuwa major ukawa na utando/utepe mwekundu kwenye kola.Kinana alikua major au colonel
Duu kajamaa kana sura mbovu