Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

images-5.jpg
 
Kinana alikua major au colonel
Huwezi kuwa major ukawa na utando/utepe mwekundu kwenye kola.
Cheo cha kuanzia kanali hadi general ndo huwa wakuwa na utando kwenye kola.
Hapo kinana alikuwa kanali manake hata ukiangalia begani utaona bibi na bwana na nyota mbili maana yake ni kanali.

Jk hapo alikuwa sio full kanali hata ukiangalia kwenye kola hana utepe/utando mwekundu.
Ukitizama begani mwa jk utaona bibi na bwana na nyota moja manake alikuwa luteni kanali.

Kwa hiyo kinana hapo alikuwa senior wa jk
 
Back
Top Bottom