Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh!!! Huyo jamaa na mambo yake yooote kumbe alikuwa na sura ya kizembe hivyo.....View attachment 650208
General Laurent Nkunda
Bora hata Kinana angekuwa rais wa hii nchi kuliko hiki kituko tuko nacho aisee khaa
Wakuu iyo aliekua Na mwalim ni nan?
Mshana Jr umenikumbusha mbali sana enzi hizo 'Layland FTR' ikiwa kwenye kampando inalalamika hadi raha.
Choki ni jina la aina ya viatu hivyo vya JokateMsaada please mkuu!
"Choki" ni nini?
Sugu moto chini,Sugu moto chini,tunatoka mbali sana aisee.
siyo Udom ni bungeni alienda ku-visitkweli hapo ati ni UDOM
no ana miaka 26 kwa sasaKidoti naye kala chumvi
hako kaliko shika kiuno ndo wewe nini?
Hahahaaaaaa Walahako kaliko shika kiuno ndo wewe nini?