Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Kama unayo picha yoyote ya zamani maarufu tupia humu ITAPENDEZA ZAIDI

IMG-20140905-WA0000.jpg
Hiyo Pasi ya Mkaa Mzee alikuwa nayo, basi wanafunzi wa shule ya Msingi kila siku walikuwa hawakauki hapo home kwa aajili ya kuazima.
 
Serious,yaani na Leo bado ni kiongozi,duuuu

He’s 71 now
Cha ajabu watu hawa huwa mpaka wafie kazini huwa hawajui kustaafu there so greedy hawataki watu wengine wapate mlo
Yaani kuna wengine wanawarithisha watoto wao kabisa kama kampuni vile

Afadhali huyu ingawa nae angestaafu ila tamaa za hela tu
 
Enzi hizo ukimpata basi ni mahaba tu hakuna kuchunana
....na unamkuta bikra. Baada ya hapo kila siku unamnunulia Big G tu kwa raha ya kuokota dhahabu jangwani. Na yeye anaenda shule kuwatambia wenzake kuwa jamaa yake anampenda sana na anamnunulia Big G na ufuto, si siku hizi unamnunulia demu iPhone unakuta kishaharibika na magonjwa ya zinaa kibao.
 
Enzi hizo adui tb hakuna ukimwi japo kisonono ukikipata lazima utaonekana
Kisonono cha enzi zile kilikuwa na akili yake kwani kilijuwa kudhalilisha watu. Unakuta kwenye kadamnasi la watu ndipo mtu unawashwa kinoma mpaka unachanganikiwa na kujipiga vidole wakati mwingine na ndiyo maana watu walikuwa wanasema kisonono kinaleta wazimu.
 
Kweli watu wanatoka mbali sana mpaka kufikia hapa walipo sasa hao hapo juu ni Masoud Kipanya na Jokate a,k.a Kidoti.
PhotoGrid_1427438677665.jpg
Halafu jamaa hawa walikuwa wanapenda kupigana denda siku za usafi......walikuwa wanajifichaga vyooni na kulana denda la kishikaji.
 
Ooh my mistake boss
Kweli 92
Na hapa ndio siku anastaafu rasmi Jeshini 1992 Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi TMA Monduli.

Yeye(Kinana) akiwa na Cheo cha Kanali na swahiba wake Jakaya akiwa na Cheo cha Luteni Kanali.

Hii ni baada ya ujio wa vyama vingi kwa kuwa wao walikuwa makamisaa jeshini(Walimu wa Siasa) kwahiyo ujio wa vyama vingi ukawapa hiyari ya kuendelea na jeshi na kupangiwa shughuli nyingine ama kuendelea na siasa wao wakachagua kubaki kwenye siasa na kustaafu rasmi Jeshi ingawa hawakufika umri wa kustaafu.

Hapa Kinana akiwa Waziri wa Ulinzi na Jkt na Jakaya akiwa waziri wa Nishati na Madini.
IMG_20220407_044117.jpeg



Pichani
Lt Col. Jakaya wa pili kutoka kushoto na Col. Kinana wa pili kulia.
 
Back
Top Bottom