Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Hapa Amini alikuwa anawafanyaje hawa wazungu?
hiyo mkuu ni press conference baada ya kupindua nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Amini alikuwa anawafanyaje hawa wazungu?
msaada kwenye tuta: ni akina nani hao?They were real dolls [emoji308]
Hudanganyi kituImagine ndio uko mbele yake anakuangalia hivyo.
huyu kama Majaliwa
Huyu dogo alikuwa roho mbaya tangu kitamboDuh, kumbe alikuwa na nywele full!
Cheki chuma hicho(in brother k's voice) [emoji23] [emoji23]Wacha wee.
![]()
Fidel CastroWakuu iyo aliekua Na mwalim ni nan?
Aisee naona kibumbu original kabisa sio kama vya kina wemaWacha wee.
![]()
Enzi hizo ukiwa na kitambi lazima upelekwe hospitali,ukachekiwe kwashakoo na utapia mloNawakubali sana MATOZI wa zamani.
Walifurahia sana MAISHA, hakukuwa na Maradhi ya ajabu ajabu.
Hawana VITAMBI.
Safi sana.
![]()
Hapo Umetudanganya Mkuu, Jokate Huyu Wa Juzi , Akue Pamoja na Masoud, Huyo Ni Musa Kipanya Na Si Masoud KipanyaKweli watu wanatoka mbali sana mpaka kufikia hapa walipo sasa hao hapo juu ni Masoud Kipanya na Jokate a,k.a Kidoti.
![]()