Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Amavubi nimeipenda sana picha hii ya Stationa ya treni hasa hapo katikati pa kugeuzia vichwa vya treni upende mwingine kilipotoka. Sehemu hii kweli haipo yena labda iliharibiaka ndio wakatengeneza Y kule Railways Club walikobomoa vibanda vya machinga
Asante sana kwa picha za zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…