Hahaaa. Lol.
Huwa najichokea tu hasa pale watu wanapoitumia kupandisha wenzao presha kwa habari za uongo ziwe za kuhuzunisha au kufurahisha sababu mwisho wa siku wenye kuzimia wanazimia basi shida tupu.
Mie siipendagi kwa kweli.
Mie siipendi vile watu wanavyoitumia yaani mara sijui nani kafa, mara fulani kapata ajali basi ujinga mtupu kama siku yenyewe walivyoipa hilo jina.Kama ulikuwepo kichwani mwangu vilee
Unaweza kudanganywa mwanao amefariki dah!Hahaaa. Lol.
Huwa najichokea tu hasa pale watu wanapoitumia kupandisha wenzao presha kwa habari za uongo ziwe za kuhuzunisha au kufurahisha sababu mwisho wa siku wenye kuzimia wanazimia basi shida tupu.
Mie siipendagi kwa kweli.
Usikute chanzo chake ni wajinga flan ivi tu walianzishaMie siipendi vile watu wanavyoitumia yaani mara sijui nani kafa, mara fulani kapata ajali basi ujinga mtupu kama siku yenyewe walivyoipa hilo jina.
Wengine mara watume msg za kwamba umeingiziwa mapesa kibao kumbe ujinga mtupu.
Kiukweli inavyotumika inakera sana. Na sijuagi chanzo chake ni nini hii siku?
Unaweza kudanganywa mwanao amefariki dah!
Huenda ikawa ni wenye akili zao pia ila sisi baada ya kusikia ni ya wajinga basi sisi ndio tukaipokea kijinga jinga hivyo hivyo. HahahaaaaUsikute chanzo chake ni wajinga flan ivi tu walianzisha
Hahahaaaa. Lol.
Hahaaa. Akaaaaa.Hahahahaha.
Mwali Kama unao wengine ongezea tafadhali
Hahaaa. Akaaaaa.
Mshenga unataka nipigwe eeeee. Wanajijua wenyewe huko waliko. Teh teh.
Hahahaa. Wengine watapita kimya kimya lol.Hahahahah.
Naona hutaki kesi
sawa saw a.
Ngoja tuwasubiri waje.