Uzi maalum wa kumtakia heri ya sikukuu ya wajinga umpendaye

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mchana wa kuu?

Natumauni nyote ni wazima wa afya baada ya kukaa kimya na kutafakari ukazaji wa vyuma hapa kwa MAGUFULI nikaona kwajiri ya kuliwazana nije na huu uzi

Lengo kuu la huu uzi ni kumtakia heri ya sikukuu ya wajinga member yeyote umpendaye

Karibuni sana wakuu mje kwa wingi bila kukosa sikukuu ni kesho tarehe 1-4- njoo umtakie heri ya sikukuu umpendae
 
Hahaaa. Lol.

Huwa najichokea tu hasa pale watu wanapoitumia kupandisha wenzao presha kwa habari za uongo ziwe za kuhuzunisha au kufurahisha sababu mwisho wa siku wenye kuzimia wanazimia basi shida tupu.

Mie siipendagi kwa kweli.
 
Kama ulikuwepo kichwani mwangu vilee
 
Kama ulikuwepo kichwani mwangu vilee
Mie siipendi vile watu wanavyoitumia yaani mara sijui nani kafa, mara fulani kapata ajali basi ujinga mtupu kama siku yenyewe walivyoipa hilo jina.

Wengine mara watume msg za kwamba umeingiziwa mapesa kibao kumbe ujinga mtupu.

Kiukweli inavyotumika inakera sana. Na sijuagi chanzo chake ni nini hii siku?
 
Hahaaa. Lol.

Huwa najichokea tu hasa pale watu wanapoitumia kupandisha wenzao presha kwa habari za uongo ziwe za kuhuzunisha au kufurahisha sababu mwisho wa siku wenye kuzimia wanazimia basi shida tupu.

Mie siipendagi kwa kweli.
Unaweza kudanganywa mwanao amefariki dah!
 
Mie siipendi vile watu wanavyoitumia yaani mara sijui nani kafa, mara fulani kapata ajali basi ujinga mtupu kama siku yenyewe walivyoipa hilo jina.

Wengine mara watume msg za kwamba umeingiziwa mapesa kibao kumbe ujinga mtupu.

Kiukweli inavyotumika inakera sana. Na sijuagi chanzo chake ni nini hii siku?
Usikute chanzo chake ni wajinga flan ivi tu walianzisha
 
Hakuna sikukuu ya wajinga mwaka huu kesho ni sikukuu ya pasaka kwa upande fulani wa Imani, kwa wale wenzangu na mm heri ya sikukuu ya pasaka (kufufuka kwa Bwana Yesu kristo)
 
Back
Top Bottom