Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Yeah hii ni weekend.Kweli hii weekend
Siwezi kukimbia,coz hakuna anayeniweza.Naona kijana umejileta
Usije kimbia vita
Ule mwendo wa kujiteka
Ukadhani tunakuteta
Huwezi kuspend bila vumba !Yeah hii ni weekend.
Ni muda wa ku spend.
Time na vichenji.
Baki home kama hupendi.
Mimi nakalisha ng'ombe itakuwa wewe ndama.Huwezi kuspend bila vumba !
Kama Teja stend , mwanangu unayumba!
Iwe kwa Tsh ama rand, nawachanisha misamba!
Me ndio mamba ndani ya jf !
Nasukuma puli kwa vinabo kina mmkangafu!
Wananiita mwehu ila akili zao chafu !
Nawapiga denda wanadai nacheza rafu!
"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"Mimi nakalisha ng'ombe itakuwa wewe ndama.
Hapa upo kwa mkali lazima utaungama.
Eti JF wewe ni mamba.
Embu acha ushamba.
Unajigamba.
Wakati huna hata shamba.
Siku zote mwehu hawezi kuwa jiniazi."Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa ***** mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Mkuu umeua verse zako noma, watoto wadogo hawawezi elewa hata wakirudi skonga""Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa ***** mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Unajisifu una level za Uingereza, wakati hata visa huna,Siwezi kukimbia,coz hakuna anayeniweza.
Siwezi kimbia,coz vita naiweza.
Level zenu Tanzania,mimi level za Uingereza.
Mjikusanye familia,ila hapa hamtapaweza.
Unajifanya unagawa koni, kumbe unalilia vocha ya jero,"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa ***** mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Mkali hizi ishu nimekuja kwa bajaji,Naona vijana mnajifanya mna vipaji.
Mnajifanya wachanaji.
Sasa nimewaita hapa mkutane na muuaji.
Awapelekee moto mshindwe hata kuomba maji.
Halafu kila mtu awe jaji.
secretarybird
Jobless_Billionaire
Al-mukheef
KERATO MOMBAA
Eti wananiita jambazi,Naona umeanzishwa kabisa uzi
Wa mimi kuonyesha ujuzi
Na sio upuuzi
Wala makuzi
secretarybird Jobless_Billionaire
Mauaji?? Mbona ni jinaiMkali hizi ishu nimekuja kwa bajaji,
Kabla ya kuja nilipiga kwanza maji,
wife alinipea kei na kunifanyia masaji,
sasa kaeni tayari kwa ya kikatili mauaji.
Kwenye mistari mi ni motoEti wananiita jambazi,
kisa sinyoi mavuzi,
mtaani nagawa dozi,
kwa wanaume wenye pozi,
wananifanisha na Muhoozi,
Yule mtoto wa kiongozi,
wa Uganda alombaka Rozi.