Mnabwaka sana kwenye nyuzi zenu, kumbe mna status za Verified za mchongo,
JF mimi ndio Sherifu, nyinyi ni wezi wa kuku mnaokimbia rungu.
Mnajifanya mnajua Intelligence, kumbe taarifa zenu mnaokota fb,
Nikishusha uzi mmoja wa maana, mnajificha kama panya walioona paka.
Mimi ndio King, jina langu likitua kwenye notification zenu mnapata presha,
Kaa kwa kutulia, ufalme hauji kwa kupiga kelele kama mashine ya kusaga.